simu

  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tecno imezindua rasmi zigo la Disemba

    Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

    Hi gentlemen! Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana. Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Yule anayepiga simu wakati maongezi yanaanza, taarifa ya habari, ibada au mikutano ni kivuruge anayeudhi

    Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza.. Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
  4. JamiiForums Tanzania Zigo la Disemba limeachiwa

    Tunapoelekea kumaliza mwaka Kampuni ya simu ya TECNO tumetambua umuhimu wa msimu huu wa sikukuu na tumewaletea promotion kabambe kwa ajili ya wateja wetu wote ili waweze kumaliza mwaka na tabasamu kwenye nyuso zao. Tumelileta Zigo lao la Disembe likiwa limesheheni zawadi za kutosha kwa ajili ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kila mechi na mshindi mmoja wa simu mpya

    Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo tunamiliki simu janja zinazo uzika sana mtaani tume amua kuendeleza furaha za wateja wetu kwa kuja na...
  6. JamiiForums Tanzania Geita: Serikali yashauri wazazi kutowanunulia simu watoto waliopo shuleni

    Serikali ya Mkoa wa Geita imewataka wazazi mkoani humo kuacha kuwanunulia simu, Watoto wao ambao bado wapo mashuleni ili kuwaepusha na mmomonyoko wa madili unaotokana na mitandao ya kijamii. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita, Tito Mlelwa amesema “Jamii hasa wazazi wanatakiwa kubeba mzigo huo kwa kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu. Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha. Tukio lenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Mgao unaoendelea wa umeme, ni furaha kubwa kwa Mitandao ya Simu

    Huu mgao wa umeme unaoendelea kwa kasi, umesababisha wengine tutumie simu za mkononi kuangalia mpira, jambo ambalo linatugharimu sana sisi wapenzi na watazamaji wa mpira wa miguu. Vifurushi vimepanda bei, mafuta yamepanda bei, in short maisha kwa ujumla yamepanda juu. So, Mgao unaoendelea wa...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Simu zapigwa marufuku Magerezani Uganda wakati wa Kombe la Dunia

    Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka. Msemaji wa Magereza Frank Baine amesema "Wafanyakazi wote hawatakiwi kuripoti kazini na Simu kwa sababu zinavuruga umakini na...
  10. JamiiForums Tanzania Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

    Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi. Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto na wanafunzi waruhusiwe kumiliki simu, la sivyo watabaki nyuma

    Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni...
  12. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kubaini madereva wanaochati, kuongea na simu waingia Dar

    Katika kupunguza ajali za barabarani zianazotokana na madereva wanaoendesha vyombo vya moto nchini, Kampuni ya Cogsnet Technologies imekuja na teknolojia mpya ya kufunga mfumo wa kielectroniki utakaokuwa unarekodi na kupiga picha makosa yote yanayofanywa na madereva wa magari wanapokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna namna ya kufupisha muda wa simu kuita ukipigiwa?

    Habari wakuu sana, Kuna zile simu unapigiwa lakini unakuwa hautaki kupoke au muda huo hauwezi kupokea kwa sababu mbalimbali. Sasa zinaita muda mrefu inakuwa kero na kukata huwezi. nimeona kuwa kwa wastani simu inaita sekunde 30-45. Kuna namna ya kufupisha labda iite sekunde 5 au 10 hivi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kero za meseji taka (spams) kampuni za simu muwe na utaratibu kupata ridhaa kutoka kwa mtumiwaji

    Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe. Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
  15. M

    JamiiForums Tanzania HAIKUBALIKI: Mitandao ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la matangazo ya biashara, WAKOME!!

    Hii haikubaliki hata kidogo na nawaomba wamiliki wenzangu wa siomu za mkononi tukatae kwa nguvu zote makampuni ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la biashara! Wanatujazia mameseji kibao wakitangaza biashara zao. Simu ninunue mimi halafu wewe uitumie kwa matangazo yako ya biashara bure...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ikulu hawapokei simu zinazopigwa kwenye line walizotuwekea?

    Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini? Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican...
  17. JamiiForums Tanzania Simu ya Nabi kwa Mgunda leo asubuhi yaipeleka Yanga makundi ya Shirikisho Afrika

    Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
  18. JamiiForums Tanzania Zijue special programs zinazopatikana kwenye toleo la camon 19 tu

    UTOFAUTI NA UPEKEE WA SOFTWARE PROGRAM ZINAZOPATIKANA KWENYE TOLEO CAMON 19 Phone Cloner Hii ni software program inayopatikana kwenye toleo hill la camon 19. Phone cloner inampa nafasi na urahisi mteja wetu alie nunua simu hii ya camon 19 series kuhamisha Data zake kutoka kwenye simu yake...
  19. JamiiForums Tanzania Window gani nzuri kwa ajili ya fundi simu upande wa software?

    Wakuu naomba kujuzwa kati ya window 7 na 10 ipi ni nzuri kwa ufundi simu upande wa software ninazo box na sio crack
  20. JamiiForums Tanzania Biashara ya ufundi simu

    Kwema wanajamii forum?? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kuna mdogo wangu ananisumbua sana,kamaliza chuo sasa hana kazi,kaniomba nimfungulie office ya ufundi simu. Sasa nilitaka kujua mpaka ufungue hiyo office itagharimu kiasi ghani? Na kila kifa cha muhimu bei yake na kinaitwaje?? Dogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…