simu

  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi ya simu

    Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi je? Ikifika muda huo nini kifanyike? Na kama upo nje ya nchi itakuwaje? Na je? Siku namba yangu ya voda ikifungiwa au akapewa mtu mwingine vipi usalama wa maokoto yangu? Maana yake details zangu namba yangu ya voda inatumika wakati wa ku deposit...
  2. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Hii simu inanirahisishia maisha kwa kiasi fulani, natumia bando la 10k tu kwa mwezi!

    Wiki iliyopita nilipita duka fulani hivi la simu nikiangalia kisimu cha kutunzia laini zangu. Jamaa walinishawishi ninunue haka ka itel ka laini 3 dah! Nataka nikamuongezee hela alieniuzia maana naokoa sana bando langu😅 See this evidence 🤸🤸
  3. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Matatizo katika mitandao ya simu

    Habari zenu wana jamvi. Kwa muda sasa nimekuwa nakumbana na huu ujumbe/haya maneno ninapopiga simu. NAMBAYAKO IMESITSHIWA HUDUMA KWA SASA. Lakini baada ya muda simu inaunganishwa na mawasiliano yanaendelea kama kawaida. Pia kuna watu wanaponipigia wananiambia kuwa wanapata huo ujumbe. Je kuna...
  4. The Eric

    JamiiForums Tanzania Nakazia, wasipewe simu kubwa

    Salaam jukwaa la MMU Ni kweli mtoa mada kaongea kishamba kwamba wasipewe simu kubwa ila mimi niko naye bega kwa bega kwa sababu hizi. 1. Hawa wa kutokea kolomije wa darasa la saba sio lazima sana wanavo fika mjini kuwaanzishia simu labda iwe ndogo, kama ni simu kubwa atashika yangu tena kwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu inauzwa samsung A13 Dar. Haina mushkeli

    Samsung A13 dark blue color Ni 64 GB, ram 4 gb. Simu haina tatizo lolote, screen ipo safi. Simu ipo Dar Imetumika miezi 11. Unapewa charger, box, risiti. Muuzaji ana shida ya haraka kugharamia matibabu ya mzazi wake. Ameshindwa kuipiga picha kwa kukosa simu ya kutumia kuipiga picha. Picha za box...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

    Salamu Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98 Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa makampuni ya simu kuhusu matumizi ya line za simu

    Hongereni kwa majukumu ya kazi wadau wa mawasiliano. Naomba kutoa ushauri kwa makampuni ya simu kuondoa matumizi la line nyingi kwa huduma zinazofanana. Wazo hili limenijia baada ya kutakiwa kusajili line nyingi kwa matumizi yaleyale kama jina langu. Nilifungua biashara A ambayo nilihitaji kuwa...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Simu ya mpenzi wangu haina amsha amsha. Nifanyeje?

    Kumekucha Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa "Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA Haina ex anaemsumbua Madeni wanaomsumbua Wadada, mijimama inayomsumbua Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME...
  9. DavidHard

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza simu kwa bei ya jumla

    Nataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie. Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza anza na msingi kiasi gani, unatakiwa kuanza kwa kununua pieces ngapi. Naombeni mawazo wadau
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuongea na simu Bungeni ni kukosa Umakini

    Hongera Spika Tulia Akson kwa kukemea jambo hili, mtu anaingia Bungeni anaanza kuongea na simu ni ushamba, pumbavu kabisa, wasichaguliwe Tena.
  11. Lil Sanguine

    JamiiForums Tanzania Simu za oppo kuuzwa kwa bei chini

    Kwa miezi takribani mitatu iliopita tumeshuhudia simu za oppo zikianza kuuzwa kwa bei ndogo kuliko kawaida kwenu wataalamu wa simu mnafikiri inatokana na nini?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Toleo jipya la simu janja ya Huawei ladhihirisha maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya China licha ya vikwazo vya Marekani

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya mawasiliano na teknolojia ya China, Huawei, ilifanya mauzo ya awali ya simu yake mpya ya kisasa (smartphone) aina ya Huawei Mate 60 Pro, hatua iliyozusha mjadala mkubwa katika jamii ya Wachina, ikiwa ni tofauti na hali inavyokuwa wakati wa kuzindua bidhaa mpya...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

    Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano. Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi. Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale. Kwa leo ni hayo tu.
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Majasusi wa Ukraine wamlipua jenerali wa Urusi kwa kutumia simu

    Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi. Huyu kapokezwa simu ya mkononi ikamlipukia, maisha ya hovyo sana, walivamia nchi ya watu wakadhani wao wataendelea kuishi kama...
  15. Salahan

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Biashara simu za mtumba

    Picha hapo juu ni miongoni mwa simu izo za mtumba Simu Zimetumika China na ni Global Version Zinatumika nchi yoyote Gharama ya usafiri kwa meli kila moja 30000 wiki 4-6 Gharama ya usafiri kwa ndege 60000 wiki 2-3 Simu ni Brand Original Simu ni 80%-90% New Gharama za usafiri zimejumuisha tozo...
  16. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Natanguliza shukrani kwenu. 🙏
  17. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza glass protector za simu kwa shilingi elfu moja

    Habarini Wana JF. Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item. napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam. Contact: 0753158943
  18. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Simu ya milioni 1+ ila unahangaika na bando, utafaidi kweli? Kwanini usinunue simu mid range ya kati halafu hela inayobaki uwekee kwenye bando?

    Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza. kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo yanafuata. ni sawa na gari inabidi ununue kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, bei za spare, gharama za...
  19. Elon J

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inaingiza Apps bila ridhaa yangu (bila kudownload), shida ni nini?

    Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna muda nikiweka MB zinaisha faster kwasababu ya kujidownload kwa hizi apps. Wazee wa IT shida ni nini...
  20. black-tz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu kwenye simu hii ya iphone 5s nilioiogota

    Hii simu nimeiokota nitawezaje kutatua tatizo hili.
Back
Top Bottom