simu

  1. black-tz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu kwenye simu hii ya iphone 5s nilioiogota

    Hii simu nimeiokota nitawezaje kutatua tatizo hili.
  2. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kutumia simu kumerahisishwa ila nashangaa wapo wenye simu za android zenye gesture bado wanatumia Vitufe vitatu vya chini?

    KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen. KUPERUZI SIMU KWA GESTURE Gesture imerahisisha sana kutumia simu, ukiswipe pembeni kulia au kushoto unarudi nyuma (back)...
  3. Mdeke_Pileme

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kijiji cha Mbwera, Wamekuwa wakining'iniza simu zao katika paa nyumba, ili kupata mawasiliano

    Wakazi wa kijiji cha Mbwera kata ya Mbuchi wilayani Kibiti, mkoani Pwani , wamekuwa wakining'iniza simu zao katika paa la kibaraza la moja ya nyumba iliyopo kijijini hapo kupata mawasiliano. Baadhi ya wakazi wakizungumza na ITV wamesema, licha ya maendeleo ya barabara iliyotengenezwa kwa...
  4. Exile

    JamiiForums Tanzania Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

    Hapa nilipo nimepoteza hela wakati natoa simu, kawaidi ukishapoteza hela huna haja ya kurudi kutafuta tena.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati Skudu sasa amewazimieni Simu jitahidini mumlipe Morrison kabla hajaenda FIFA na Mkafungiwa Maisha

    Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki. Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa Kutunga Nyimbo za Amapiano na Kuzicheza tu huko huko Kwao Bondeni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa simu nzuri za kiswaswadu

    Wakuu humu ndani kwema. Naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anafahamu simu nzuri ya kiswaswadu yenye uwezo wa kukaa laini tatu.
  7. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Utapeli: Hii ndio shida ya kununua simu za delivery mikoani, Kawekewa simu ambayo wateja wanaofika dukani hawaitaki

    Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi. Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni...
  8. NDUKI

    JamiiForums Tanzania Nani ambaye hujampigia simu kitambo ungependa kumpigia leo?

    Salaam/Shalom. Natumai mu-wazima kabisa, kama mimi vile nilivyo pia. Lakini huwezi kujua mtu ambaye hamjawasiliana muda mrefu sahizi anaendeleaje...? Watu wangapi hujawasiliana nao kwa kipindi kirefu sana? Je, wapo Hai au Wamekufa....? Wazima au Wanaumwa...? Siwezi kusema kuwa INAUMIZA SANA...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama una simu yoyote mbovu inahitaji repair DM

    Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware 1. Umesahau password 2. Simu yako imevunjika kioo 3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako 4. Matatizo ya network 5. Ulizi wa simu yako 6. Kuongeza storage iphone au android phone
  10. Introver

    JamiiForums Tanzania Simu ya kgtel hazikubali sim card ya Airtel

    Wakuu habari zenu. Ndugu zangu nahitaji kufahamu kama laini za Airtel hazikubali kwenye simu ndigo ya kgtel maana nikiweka kwenye simu nyingine inakubali vizuri lakini nikiweka kwe simu tajwa inasema SIM access error
  11. malisak

    JamiiForums Tanzania Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

    Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika. Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  13. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

    Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni mtandao gani wa simu wenye latecy ndogo?

    Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo. Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms. Chief-Mkwawa
  15. J

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo la Camera ya simu kujiwasha ikiwa mfukoni nalitatua vip?

    Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
  16. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Simu yangu imekuwa mfariji na kipenzi changu muda wote

    Hiki kifaa kimenifanya kuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kila siku. Kwa ufupi kimeweza teka hisia zangu kuliko hata mwanamke. Kimechukua muda wangu mwingi kwenye maisha yangu ya kila siku. Simu imekuwa ikiniamsha niwahi kazini. Simu imekuwa ikinipa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe mapenzi yana mambo! Kusachiana mifukoni na kupekuliana simu kimya kimya pasipo kujua, na hamkuniambia?

    Aisee nyie walimwengu mna siri! Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua! Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia imenishangaza...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Fanya haya kutatua changamoto ya spika simu inayokoroma

    Simu yako imeingia maji?, spika yako inatoa sauti ambayo huipendi? sawa pole kwa changamoto hiyo karibu hapa kwa suluhisho. Usipeleke simu kwa fundi kwanza, wala usiweke kwenye mchele. Kama umekutana na changamoto tajwa hapo juu au za namna hiyo, kwa muda huu ambao unasoma hapa, basi fanya...
  19. Liu Yun

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu huwa hataki nimpigie simu wala SmS bosi wake wa kiume akiwepo

    Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini. Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Unguja avamia shuleni kusaka simu na shisha kwa wanafunzi

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Rashid Simai Msaraka amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari ya Forodhani kwa lengo la kufanya msako wa Wanafunzi wanaotumia shisha zinazotumia umeme pamoja na simu. DC huyo amefika Shuleni na kuamuru Wanafunzi wote washushwe parade na...
Back
Top Bottom