simu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  2. A Father

    JamiiForums Tanzania Ogopa Mkopo wa simu Airtel ikishirikiana na Watu Credit, wamsababishia baba shida

    Wakati Baba anahudumiwa, aliambiwa atarejesha Tsh. 13, 600/= kwa wiki. Lakini Baba ametumiwa mkataba kwa njia ya mtandao, alipoufungua amekuta amesainiwa fomu yenye makato ya Tsh.14,300/= kwa wiki, tofauti na aliyofahamishwa, na mkataba haubadilishiki. Imekula kwa Baba.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

    Habari wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, 👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu. 👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth. 👉...
  4. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  5. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina aliepo Tanzania awapigie simu HAMAS waachie watoto wetu waliotekwa na magaidi hao au arudi kwao Palestina

    Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga Taarifa hizi zimechapishwa...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rukwa kinara kwa majaribio ya Utapeli kupitia simu. Dar inaoongoza kwa usajili wa laini yawa ya 3

    Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano Tanzania iliyotolewa na TCRA mwezi Septemba, imeonesha Mkoa wa Rukwa umekuwa Kinara wa Majaribio ya Utapeli kupitia simu ikiwa na Majaribio 8,450 kwa kipindi cha Julai hadi Septemba Hata hivyo kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Rukwa inashika nafasi ya 25 kwenye orodha...
  8. blogger

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwanamke ambaye baada ya tendo tu unakurupuka na kushika simu yako

    Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka. Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim. Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kati ya simu tatu zinazopigwa, mbili ni za mtu anayetaka apewe pesa

    Wakuu hali ishakuwa tete,, mnafanyaje kuwakwepa hawa wapiga mizinga wanaoamini wao tu ndo wenye shida na maokoto.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina Simu za Mkononi za Kawaida na Smart Phone zaidi ya Milioni 70.6 zinazotumika kila siku

    Kati ya Juni hadi Septemba 2023, kulikuwa na Vifaa 70,613,504 vya Mawasiliano ya Simu za Kawaida (Feature Phone) na Simu Janja (Smart Phone) zilizounganishwa na Mitandao ya Simu sawa na 83% ambapo Simu Janja zilikuwa Milioni 18.9 na Simu za Kawaida za Mkononi (Feature Phone) zilikuwa Milioni...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wakamatwa wakiwa na simu 79 wanazotuhumiwa kuiba wakati wa Tamasha la Wasafi Festival

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, ACP Marco Chilya amesema kupitia Operesheni iliyofanyika hivi karibuni Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu (3) wote wakazi wa Dar-es- Salaam wakiwa na jumla ya simu 79 ambazo waliziiba katika Tamasha la Wasafi Festival lilifonyika Songea...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kiama cha marejesho nimechukua simu Infinix note 5 kwa wadaiwa wangu watumishi kama Serikali haiwajali na mimi sina huruma

    Sasa watumishi wanaokopa kwangu kwa riba watakiona cha moto mpaka akili ziwarudi pumbavu zao, marejesho yakichelewa sina huruma na hawa ngedere tukiwaambia waache ujinga wa kujilegeza hawataki. Awamu hii serikali mdebwedo hadi mseme ngedere nyie. Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Matapeli watumia Akili Bandia kujifanya Mkuu wa Umoja wa Afrika Moussa Faki, wapiga simu kadhaa kwenda Miji Mikuu Nchi za Ulaya

    Tume ya Umoja wa Afrika imekuwa muhanga wa uhalifu wa mtandaoni baada ya matapeli kutumia akili bandia ili kumuiga mkuu wa tume hiyo Moussa Faki na kuilenga miji mikuu ya nchi za Ulaya. Huu unaweza kuwa upungufu wa kwanza wa kidiplomasia kwa teknolojia mpya. Moussa Faki ambaye ni Mwenyekiti wa...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi tozo kwenye miamala ya simu ziliondolewa au zilipunguzwa?

    Leo nimetoa hela kwa waakala wa M-Pesa kiasi cha 30,000, meseji inasoma hivi; "...... imethibitshwa tarehe 20/10/23 saa 9:52 AM Pokea kiasi cha Tsh 30,000.00 kutoka ....., jumla ya ada Tsh 2,201.00 (M pesa ada 1,850.00+tozo ya serikali Tsh 351.00).
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Nape kuhusu katazo la VPN ila sijamuelewa kama anajua matumizi ya simu

    Huyu Nape ni waziri wa habari ila sikuelewa jambo alilotaka kuelezea kama lilikua ni lenyewe au la. Nape ametumia muda kueleza nia nzuri ya kudhibiti matumizi ya VPN, ni kuzuia utapeli wa ile hela tuma namba hii unaoendelea nchini kupitia mitandao ya simu. Nape amehusisha utapeli huo na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

    Hivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu? Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo. Mnakosa fedha
  17. Kunguru wa Unguja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini suluhisho la simu kupata moto sana, yaani iko overheated sana

    Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha . Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi. Msaada wa kitalaamu
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto: Kioo cha simu kupasuka

    Aina mbili za ndoto ni :- i. Symbolic dream (yenye fumbo) ii. Reality dream (isiyo na fumbo) Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani. Kuna mambo mengi ambayo si...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simu nyingi sikuhizi zina camera nzuri, bado camera ni kigezo kikubwa kwenye kuchagua simu?

    Sikuhizi waweza kununua hata simu ya laki na nusu ila ina kamera nzur inaeleweka, ukipiga picha inaridhisha, mfano wa simu bei chee kama sony xperia xz1 dukani ni shilingi 175,000 kamera ni nzuri, ukiwa na maradufu ya bajeti unaweza kupata simu kama google pixel 4a 5g ina kamera nzuri ila ni...
Back
Top Bottom