simu

  1. JamiiForums Tanzania Duh hii Kali ya mwaka, nimepokea simu kutoka kwa mwana ukoo ambae ni black sheep kwenye familia yake. Alichoniambia kimenishangaza

    Black sheep ; Mdogo wangu shemeji yako ana mimba ina miezi minane sasa nakupa taarifa mapema kabisa ujue kaka mwezi ujao anajifungua so nikija kukupigia simu kukuomba msaada usishangae. Pambana pambana kaka unitafutie hela kidogo ili isaidie atakapo jifungua. Me: siko powa kaka siwezi...
  2. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mitandao ya simu nchini wana vifurushi kausha damu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu Tanzania ina vifurushi vinavyofanana na kingine kila mtandao na spidi yake. Sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya Haloteli, Airtel, Tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu, yaani ukinunua...
  3. JamiiForums Tanzania Simu Za Samsung Zimewasili na Ofa Ya Stend Ya Simu BURE

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta simu za kipekee, chache aina ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nimestushwa na wizi wa data wa makampuni ya simu

    Siku zote najua tunaibiwa data na MAKAMPUNI ya simu lakini sikujua Kama ni wezi kiasi hicho. Mara nyingi naweka kifurushi cha wiki lakini hata simu yangu ilizima charge kwa kukosa umeme kifurushi huwa kinakaa siku moja tu na so zaidi. Leo sijui imekuwaje nimezima data baadae nikaangalia salio...
  5. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu bei za vifaa vya kielectroniki Zanzibar pamoja na gharama za usafiri

    "Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki? Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?" Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama za usafirishaji wa vifaa vya Kielectroniki kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara. Kwa hili, Naomba...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wenye iphone, Naomba mnisaidie kunitajia ios version zenu 🙏

    Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones). Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia. Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania TTCL tengenezeni App ya kuwezesha disapora kupiga simu! na kusaidia nchi !

    Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii...
  8. JamiiForums Tanzania Chimbo la Flash Disks, Memory Card na Vifaa vya Simu Original za JUMLA

    Habari wana JF, Kwa anayefahamu chimbo la bidhaa za Jumla, za Flash Disks, Memory Card, na Phone Accessories.. Location iwe Arusha au Dar.. Sana sana Arusha kama zipo..
  9. JamiiForums Tanzania Askari wa Kituoni Ubungo Simu 2000 kilichowatokea leo kiwe ni Fundisho Kwenu na muache kuonea Madereva mtakuja Kufa Kipuuzi

    GENTAMYCINE nilikuwa naambiwa hakuna Madereva Waliodata na Wasioogopa lolote, Wathubutu na Majasiri kama wa Masafa Marefu ( Malori ) ila kwa nilichokishuhudia Mubashara leo Ubungo SIMU 2000 nimekubali na Kuwanyooshea mikono. Ilikuwa ni mida ya Saa 7 Mchana ambapo Askari wa Ubungo SIMU 2000...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

    Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara Duniani kwa utengenezaji wa simujanja wameeleza kuwa simu hizo mpya zina changamoto ya kutoa joto...
  11. JamiiForums Tanzania Fundi simu anayeweza kunirekebishia hii simu anicheck

    Simu ni LG G8 thinq Ipo locked na mtandao wa China Unicom. Ukiweka line za Bongo inashika tu 4G muda wote(Hivyo huwezi kupiga simu wala kupokea message). Except kwenye airtel ambapo ukiweka itashika 4g kama kawaida ila ukipiga simu itajishisha kuja 3G na ukimaliza itarudi 4G. Mitandao...
  12. JamiiForums Tanzania Futa kila kitu baada ya kila saa 2

    Wakuu nimepata changamoto katika Google Pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hiyo error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na nimeitumia miezi...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada Simu inajufuta kila kitu after every 2 hours

    Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada Simu inajufuta kila kitu after every 2 hours

    Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya simu za batani

    Habari wanaJF, Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection 1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili niweze kukagua simu zilizopo kwa ajili ya msururu ya wateja nlio nao. 2. Endapo wewe ni winga/winger...
  16. JamiiForums Tanzania Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
  17. JamiiForums Tanzania Yajue maficho ya Simu za Wizi

    Wakati wezi wa simu za mkononi wakiendelea kuwatesa wananchi, mafundi wa vifaa hivyo wametajwa kuwa kivuli cha kuwaficha wahalifu hao. Mbinu kuu inayotumiwa na mafundi ni kuzibomoa simu hizo na kutumia sehemu zake kama vifaa vya kutengenezea zingine zilizo mbovu. Kutokana na matumizi hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  19. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ndani ya Dar es Salaam panafaa kwa biashara ya vifaa vya simu?

    Habarini ndugu, Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati. Naomba msaada wenu
  20. JamiiForums Tanzania Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi ya simu

    Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi je? Ikifika muda huo nini kifanyike? Na kama upo nje ya nchi itakuwaje? Na je? Siku namba yangu ya voda ikifungiwa au akapewa mtu mwingine vipi usalama wa maokoto yangu? Maana yake details zangu namba yangu ya voda inatumika wakati wa ku deposit...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…