simu

  1. JamiiForums Tanzania Sajenti Ahijo Usalama barabarani, badili simu, badili line!

    Mimi ni.msikilizaji mzuri wa kipindi cha Usalama barabani,kila asubuhi Radio One, saa moja na robo baada ya taarifa ya habari. Askari wote kila siku wanasikika vizuri ,hata yule wa Mwanza Sajenti Ninga leo kasema kuna ka mvua Mwanza, so madereva wawe makini. Kimbembe kipo kwa Sajenti Ahijo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako 2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini 3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yaishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko la simu kinyume cha Sheria za Ushindani

    Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili. Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na kuzuia ushindani kwenye mfumo wake wa simu(Apple ecosystems). Serikali ya Marekani inaituhumu Apple...
  4. JamiiForums Tanzania Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Naagiza simu original China kama unataka kuagiza karibu (0687746471) Kama kuna yeyote anatamani kuagiza simu kutoka China. Simu original karibu uagize namimi. Namba zangu za simu ni 0687746471 Huyu mtu anayeniuziaga simu namwamini sana ameanza kuniuzia simu tangu 2019 mpaka sasa naagiza...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wakipigiwa simu wanafurahi sana

  6. JamiiForums Tanzania Kwa bajet ya 500 napata simu gani nzuri?

    Wakuu kama kichwa kinavosema, Preferred brands ni Samsung na Xiaomi
  7. JamiiForums Tanzania Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
  8. JamiiForums Tanzania Top 5 Most Secure Smartphones in the World

    Explore these top 5 most secure smartphones ruling the world right now In an era dominated by technological advancements and interconnectedness, the security of our data is paramount. Smartphones, being an integral part of our daily lives, often store sensitive information ranging from personal...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima. Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma Shaabani Kiwangala, mwenye mtoto mdogo wa takriban mwaka mmoja mkazi wa Manzese mburahati, mtaa wa kwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mudathiri Yahya uliokuwa ukiwapigia simu siku zote walitaka waonane na wewe ana kwa ana, nadhani umewaona jana?

    Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mtandao inapoweka mnara kwenye eneo lako huwa wanalipa kuanzia Tsh ngapi?

    Habari Wana JF, Samahani naomba msaada nataka kujua gharama wanazolipa Hawa wamitandao wanapoweka mnara kwenye eneo la mtu kuanzia Malipo ya mwanzo na Malipo ya Kila mwezi eneo lipo kijijini mkoa wa Kagera. Tunaogopa wasije kutupiga hatujui chochote. Ahsanteni
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu wafidiwe pesa katika mitandao ya simu ikitokea wenye Akaunti zenye salio wameaga dunia

    Habari ndugu Watanzania, Nimesukumwa kuandika uzi huu, kutoka kwenye uzi mwingine uliofunguliwa juu ya madai ya mtu kumtumia mzigo mteja wake, na mteja imetokea ameaga dunia kabla ya kupokea mzigo. Niliwahi kufungua uzi kipindi cha nyuma unaoendana na huu ukiuliza ndugu wanafidiwa vipi maslahi...
  14. JamiiForums Tanzania TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Nimemiss namba za simu za wahudumu kwenye bili

    Hii kitu nilikuwa na nyota nayo. Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili. Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao. Leo hii kila nikienda hata bili ya karatasi sipati tena unaambiwa alf kumi bili yote tumalizane...
  16. JamiiForums Tanzania Naweza nikatrack mawasiliano ya simu ambayo nimeongea nayo juzi? Kijana kakimbia na pikipiki yangu toka juzi, hivi sasa hapatikani.

    Habari viongozi? Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda. Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti. Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mkiibiwa simu mnaipigia, mnataka kumwambia nini mwizi?

    Mtu labda ulikuwa zako kwenye usafiri wa umma, ukaibiwa simu yako. Au hata nyumbani kwako watu wamevunja dirisha wamebeba simu. Unakuta mtu yuko busy kujipigia, huwa mnataka kumwambia nini mwizi?
  18. JamiiForums Tanzania Nateseka sana na hii simu

    Mimi ni mpenzi wa magemu hasa Yale ya Ppsspp sasa hii simu ni Infinix hot 30 play Niki download game kupaste data kwenye Zarchiver inagoma inaandika kama hivo pichani nimejaribu kuangalia YouTube nimetoka holaaa, Mwenye kujua kurekebisha ilo tatizo 🙏
  19. JamiiForums Tanzania App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

    Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
  20. JamiiForums Tanzania WanaJF, Msaada Tutani 🤔.

    Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu. Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana nilitumia simu mpaka mida ya Sita usiku, nilivyo itumia ikabaki asilimia 10%, hivyo ikabidi niweke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…