simu

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nyumba moja kuwa na meter kumi za LUKU haina maana, Napendekeza LUKU moja iwe na line nyingi kama simu

    Ni kwamba meter moja ya umeme iwe na uwezo wa kulisha nyumba hadi 6 bila kuchangiana kwenye matumizi. Mteja akiomba meter, atasema anataka yenye output ngapi (line 1, 2 ,3, 4, 5 au 6) kulingana na matarajio yake ya kuongeza matumizi ya wapangaji au fremu za maduka baadae. Kwahiyo meter...
  2. excel

    JamiiForums Tanzania Kuna watu huwa siwaweki blacklist, ila simu zao sipokei

    Ninao watu wa hivi wengi sana, Blacklist siwaweki ila simu zao watapiga sana na sizipokei, labda atumie namba ngeni.. Huyu yeye anaomba hela mpaka anakera. Kuna kipindi alinichapa hadi 450,000 ila baada ya mwezi akarudisha😅😅😅 Kina mama mnakopa sana halafu marejesho yanawashinda!!
  3. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Wasalaaaaaam........ Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa. Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kifaaa gani cha bei chini ya laki 2 kinakuza PCB za simu wakati wa kusolder/ kudesolder

    Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo cha mapato kwa Bima ya Afya kwa wote. Amesema kuna wamiliki wa laini za simu milioni 72 nchini ambao...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Fedha za bima kwa wote kukatwa kwenye line za simu, mpango wenu Serikali ni Watanzania tuache kabisa kuwasiliana?

    Wakuu, Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa! Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu? Hii siyo ya kukalia kimya! Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu...
  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Naunganishaje Simu na Tv smart tv (Casting)

    simu yangu :iphone tv: smart tv
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hii simu ni ya Mzee Yusuf Makamba kweli au wanazuga tu?

    Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani? == == === DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  9. snipa

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya tiGO kutumia Nguvu kubwa kulazimisha Watanzania kuweka salio kwenye namba zao za simu

    Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo. Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5. Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k. Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnara wa Temeke umeshindwa Kuruhusu Simu ya Mwendawazimu kuwapigia Kilazima Watanzania

    Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana. Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu maradufu na haijawahi kushindwa kufanya Kazi ikiwa huko
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza kioo cha s10+ kwa 87k , badala ya 320k

    .
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na kuagiza simu ndogo kupitia alibaba

    Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
  15. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  16. Laptop bei nafuu

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Pata simu kwa bei nafuu

    PATA SMARTPHONE KWA BEI NAFUU ZAIDI 💵TANZANIA SHILLING 💵 SAMSUNG PRICE E1205-----------------400,000 E1207------------------400,000 A04E 32GB----------280,000 A04E 64GB----------310,000 A04 64GB------------324,000 AO5 64GB------------325,000 A05S 128GB--------400,000 A04S...
  17. Doto12

    JamiiForums Tanzania Simu za mkopo ni wizi mtupu

    Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
  18. Mshenyentaji

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  19. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sajenti Ahijo Usalama barabarani, badili simu, badili line!

    Mimi ni.msikilizaji mzuri wa kipindi cha Usalama barabani,kila asubuhi Radio One, saa moja na robo baada ya taarifa ya habari. Askari wote kila siku wanasikika vizuri ,hata yule wa Mwanza Sajenti Ninga leo kasema kuna ka mvua Mwanza, so madereva wawe makini. Kimbembe kipo kwa Sajenti Ahijo wa...
  20. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako 2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini 3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
Back
Top Bottom