Ili kuondoa mianya ya rushwa, mabishano nakadhalika. Polisi Usalama Barabarani wabaki kukagua mambo mengine, zitegwe speed detectors, ukizidisha mwendo message inakuja tu kwenye simu yako unapambana na hali yako, askari wapungue road wabaki vehicle inspectors tu na wakaguzi wa makosa mengine...
Jambo wa ndugu zangu
Nakuja kwenu ku omba msaada Kama kuna mtu anajuwa solution ya SIM yangu
Nina SIM yangu TECNO POVA aita ki ku instal application mpaka ni Download kupitiya Playstore tu
Baadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo.
Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.
App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.
Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Unatumiwa msg unaambiwa kama unahitaji mkopo jibu MAX kwenye hii msg halafu utapata mkopo was sh 3000.
Ukijibu MAX unapata msg ambayo inasema umefanikiwa kupata mkopo.
Halafu ukijaribu kuingia katika internet unashindwa.
Line yangu ni ya TIGO.
HII ni mara ya pili napata matatizo na TIGO...
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion
✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono
✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini
✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume...
#AFYA: Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na Taasisi za All India Institute Of Medical Science (AIIMS) na Cleveland Clinic, Watu wanaotumia Simu za Mkononi 'Smartphone' wakati wa Kulala, wako hatarini zaidi kuharibu Afya za Moyo, Ubongo na Macho.
Utafiti huo umeonesha matumizi ya Simu muda ambao...
Habarini za Asubuhi wana JF
Niende direct kwenye jambo
Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
Habarini za Asubuhi wana JF, niende direct kwenye jambo.
Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO
Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako.
#UWTJisajiliKidijitali
Mudathir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara.
Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu. Baada ya muda akiwa kwao...
Salaam Wadau,
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini?
Cc: Chief-Mkwawa
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'.
Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa speshi ya bluu kwa muda wote kunaweza kuvuruga kazi za kawaida za mwili na kusababisha kutokuwa...
Habari wadau,
Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia .?
If there's a phone in heaven , I could be in touch with my Grand-father ili kumjulisha kuwa yale mashamba yake makubwa tumeyauza na kujenga visima vya maji Kama alivyoacha ametuambia.
MKEO AU MCHUMBAAKO AKITAKA KUWASILIANA NA MICHEPUKO YAKE HUTUMIA ZAIDI SIMU YA RAFIKI YAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna wale wanaume wenye tabia ya kuzikagua simu za Wake au wachumba zao. Mbaya zaidi huzikagua waziwazi. Hilo ni kosa. Unapoishi na mwenza iwe mumeo au mkeo usifanye...
Pamoja na mambo Mengine kwenye viwanja vya furahisha Mwanza Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amewaagiza wananchi kumpigia simu Spika huyo ili kumlazimisha awaondoe Bungeni wabunge 19 maarufu kama COVID 19 , ambao amedai wamewekwa bungeni humo kinyume cha sheria
Mnyika amedai kwamba ni vema...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.
Nakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.