simu

  1. excel

    JamiiForums Tanzania Natumia Tsh 11,000 tu kwa mwezi kwa matumizi ya Mawasiliano ya simu.

    Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu? mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅 Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
  2. Nahman

    JamiiForums Tanzania Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

    Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako? 😊 good night african beauty Bantu Lady Nyiewengine lolote liwakute😅
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anatakiwa kuwa na simu darasa la ngapi?

    Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2. Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent Aisee yuko busy anatuma meseji tuzidi kuwaombea tu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  5. Beberu

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje simu ninayotaka kununua ni ya mkopo?

    Wakuu, nitajuaje kama simu ninayotaka kununua ni ya mkopo? Yaani hizi za hawa wanaouza kwa mkopo?
  6. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina bwana angu nampenda" "Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye"...
  7. hp4510

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8 Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli...
  8. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Mawasiliano na ukiukwaji wa haki za mteja Tanzania

    Kabla ya WhatsApp nilikuwa na line za nchi mbalimbali. Ililazimu Kila nchi uliyofika ununue line. Mwisho nikajikuta na line zaidi ya 100. Nikijua naenda Italy nachukua SIM, Naenda Switzerland nachukua MOBISTAR, n.k. Kwa sasa natumia Togocel na Moov. Hii ni mitandao ya Togo. Togocel ni shirika la...
  9. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Hivi hii kauli na agizo huwa unalichukuliaje na unajisikiaje!? Unapoongea na mtu kwenye simu kisha anakupa hilo agizo.
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu, uhakiki taarifa za mteja usiishie kwenye jina na muamala wa mwisho pekee, wateja wanalizwa huku

    Wakuu, kuna text niliona inasambazwa huko duniani, jinsi wezi wanavoweza kuhamisha pesa kutoka kutoka Mpesa, TiGO pesa, na walet nyingine. Ukiibiwa simu ukiwa hauitumii ndani ya muda huo (yaani iko locked) utakuwa na muda kidogo kabla kaka jambazi hajafanya lake. Ukiibiwa simu ikiwa unaitumia...
  11. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu wa simu za Tecno

    Habari wanaJF, Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1 or 2 na amecheza setup bado shida na inaonesha sms za line Moja tu. Sms za line nyiingine...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nape Moses Nnauye hakuna unachokifanya, mitandao ya simu inafanya wizi as if hawana regulatory aithority

    Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds. Nape unafanya nini ofisini?
  13. Candela

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages. Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  16. MLUGURU

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Mawasiliano yaboreshe vifurushi viwe rafiki kwa ajili ya viziwi

    TCRA pamoja na haya makampuni ya simu ya Tanzania (Tigo, Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel,ttcl), miongoni mwa wateja wenu kuna hawa wenye mahitaji maalumu ambao ni viziwi kiasili. KIZIWI maana yake ni mtu ambae hawezi kuwasiliana kwa namna yoyote ile kwa njia ya sauti zaidi ya video call na sms...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuweza kufanya recover wa taarifa katika simu yangu

    Habarini ndugu zangu Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory card katika simu yangu niliiset kama internal storage hivyo baadhi ya taarifa kama picha...
  18. PrimeTech255

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu za mezani zinapatikana Kwa bei ya kutupa

    Bado simu za mezani zimeendelea kuwa hitaji kubwa hasa Kwa watu wenye ofisi ambao wanahitaji mawasiliano muda wote (kuwa hewani) Pia Kwa familia hii simu inakuhakikishia upatikanaji wa watu wako wa muhimu muda wote. ✨ Hata maeneo ambayo mtandao ni korofi basi hii simu ni suruhisho la kudumu...
  19. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Kwa ushangiliaji huu, kama ingekuwa Viwanja vyetu huku, hiyo simu saa hizi ingekuwa wapi?

    Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji. Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
  20. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Moja kwa moja kwenye mada.... Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
Back
Top Bottom