Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol
Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol...