Alipewa Hadi uchifu,
Safari za mwanza zilikuwa haziishi,
Kilichonishangaza, iweje mwanao anaoa, tena mwanao anayeoa atokea Mwanza, na Hilo halitoshi anaoa Binti wa Mkubwa Fulani wa nchi jirani na hukuudhuria ukaishia kumtuma mjomba maskafu akuwakilishe.
Hii ni Nini hasa tafsiri yake, unaoza...