siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Gunner11

    Sisi tunao post kila siku

    Kuna siku mambo yanagoma kabisa, unaandika hakuna anaye engage na post zako.. Kuna siku unaandika kitu ambacho hata unajua hakiweza pata engegement, then kinnageuka kuwa na wachangiaji wengi.. So, by knowing that... Hauhitaji kuona kuwa people don't care, ni vile not everyone is thinking as...
  2. Design Your Idea

    Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  3. Eli Cohen

    Alafu mtu anakuja kusema Wamarekani ni mashetani. Shetani ni huyo anaekuhuburia kil siku hivyo ili aulinde ushetani wake

    Hata hizi pesa zilizo rudishwa zinaenda kupigwa juu kwa juu na wala ugali.
  4. Financial Analyst

    Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
  5. Mla Bata

    Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

    Wasalaam, Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka. Wakati mwingine...
  6. M

    Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

    Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu. Naswali tahajud pamoja na witri. Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo. Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir...
  7. Mhaya

    Mbunge wa Poland: Siku tutakayojenga Misikiti ni siku Qatar wakiruhusu Tujenge Kanisa (Cathedral) Kwao

    Mbunge wa Poland atoa maoni yake kuhusu uhamiaji haramu na namna dini inaweza kusababisha mabadiriko ya kiimani, usalama na utawala katika nchi hiyo ambayo kwa miaka mingi imekuwa na Wakristo kwa asilimia zaidi ya 90% hasa Roman Catholics...
  8. Chief Kumbyambya

    Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    Hii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini? Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea? Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
  9. nzalendo

    Siku nilipojaribu Utakatifu

    Nilipata msukumo wa ndani. Nikaanza kushindana na mawazo yangu...likija wazo baya nalipotezea. Nikafanya usafi wa mahala ninapoishi kuanzia chumbani..bafu ,,choo..jiko n,k Nikajifanyia usafi wa mwili kucha nywele naam na vinyweleo. Kila baada ya masaa matatu ninafanya maombi ndani kwa ndani...
  10. Troll JF

    Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

    Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
  11. Financial Analyst

    Kila siku Wakristo wanachinjwa nigeria, watu wasio na hatia wanauliwa Sudan, n.k, sasa unajiuliza tofauti na kutoa matamko kazi maalum ya AU ni ipi?

    Mtaji wa masikini ni nguvu yake mwenyewe. Ukitaka kuharibu siku yako nenda uangalie damu zinavyomwagika sudan na nigeria.
  12. Crocodiletooth

    Tuutafakari msemo kwa siku ya leo!

    Nadharia ya msemo huu inaendana na jinsi vile dunia inakwenda,ipo misemo ambayo mara utakapoenda nayo kinyume basi dunia yote inaweza kukuelemea!... -Ni moja ya kanuni ambayo hutumiwa sana na cult mbalimbali.
  13. Exorcist

    Je, kiwango cha mwisho cha miamala kwa siku kinapunguzwa kwa miamala ambayo imerudishwa?

    Msaada. Tuseme kiwango cha mwisho cha miamala cha line yangu ya Airtel ni 5mil. Halafu nikatuma 4.5mil. kwenda mtandao mwingine, halafu kutokana na shida ya mtandao hiyo pesa ikarudishwa kwangu. Kisha nikajaribu kuituma kwa namba ya mtandao mwingine, lakini naambiwa kwamba umefikia kiwango cha...
  14. M

    Nimekuwa muafrika wa kwanza kuweka order ya TESLA ROADSTER nikiwa nimeweka amana ya $50k Leo na ndani ya siku 10 zijazo nitamalizia $200k zilizobaki

    Pesa so Kila kitu lakini ni muhimu kuwa na pesa ndugu zangu Tesla roadster yangu nitalipokelea Hong Kong 2028 kama mkiwa hai mtaliona tanzania
  15. Mad Max

    Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  16. M

    Walitudhihaki hatukusoma, sasa lawama kila siku

    Walitudhihaki hatukusoma shule, lkn lawama kila siku
  17. S

    Mambo ya kuficha ID kwenye JF; unaweza kukuta Erythrocyte ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah lakini hawana habari, sasa siku wajikua!

    NImewaza sana. Hizi ID tunazotumia humu Jf hata wake au waume zetu hawajui, achilia mbali michepuko. Sasa unaweza kukuta humu JF unachukizana na mtu kumbe ni mke, mume au mchepuko wako! Si ajabu ukakuta Erythrocyte wa Chadema ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah wa CCM! Kimbembe ni siku...
  18. A

    KERO Begi langu limepotea Airport Dar, naomba mamlaka husika ichukue hatua stahiki kulingana na taratibu

    Mke wangu alisafiri Julai 24, 2026 akiwa na mabegi manne kutoka Afrika Kusini (OR Tambo International Airport) kuja Dar es Salaam (JNIA), alipofika Dar es Salaam, alipoenda kuchukua mizigo kwenye belt, begi moja halikuonekana. Nikaingilia na kupata mrejesho kutoka kwa maafisa wa JNIA, wakasema...
  19. C

    Didier Drogba kurudi tena tanzania siku ya October 16

    Wizara ya habari sanaa na utamaduni imetangaza tena kurejea kwa nyota na nguli wa mchezo duniani didier drogba tanzania Katika poster ambayo imechapishwa katika wizara ya habari , sanaa na utamaduni wa wamechapisha kuwa ni maandilizi kuelekea afcon Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa...
  20. nzalendo

    SIKU KITANDA KILIPOPIGA MAKELELE

    Naam ni jioni jioni jua laanza kuzama. Najongea nyumbani nikiwa na uchovu wa safari ya shamba kuvuna, Nawekewa maji bafuni (bafu lenye wigo wa nyasi). Maji uvugu vugu na sabuni ya kunukia ya life buoy. Baada ya bafu naweka betri kwenye kiredio nipate habari za dunia BBC Swahili Enzi za kina...
Back
Top Bottom