Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Nabii Tito tangu akamatwe siku ya Jumamosi hadi leo hajafikishwa kwenye mahakama yoyote.
Tunaomba Polisi wamwachie mara moja au wampandishe mahakamani.
Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
Tarehe ya Mwisho ya Iran ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa?
Tarehe ya mwisho ya Iran iliisha na Iran haikujisalimisha, haikufungua Mlango-Bahari wa Hormuz, na kulingana na ripoti ya Wall Street Journal ilitumia dirisha lote la mazungumzo kufanya jambo moja ambalo hakuna mtu huko Washington alitaka...
Serikali ya Tanzania imewapa wazalishaji wa saruji muda wa siku nane kuongeza usambazaji na kushusha bei, baada ya mfuko wa saruji wa kilo 50 kufikia hadi shilingi 26,000 pesa za Tanzania sawa na dola 9.8 katika baadhi ya maeneo.
Wizara ya Viwanda na Biashara iliitisha kikao cha dharura na...
Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema:
“Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!”
Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amemtaka Mkandarasi China Wu Yi Construction kuhakikisha anakamilisha hatua ya kumwaga lami katika barabara muhimu inayopita eneo la Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya siku 14, huku akimtaka Meneja wa TARURA Wilaya ya Ilala kusimamia utekelezaji...
Uchaguzi wa kijeshi wa kila mwaka wa Korea Kusini na Marekani umepunguzwa kwa siku sita kwa ombi la Washington, Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza.
Seoul imesema kuwa “muda na ukubwa” wa zoezi la kijeshi la Ulchi Freedom Shield 2026 umebadilishwa kufuatia “pendekezo kutoka upande wa...
Habari, kama maelezo yalivyo hapo Nakodisha Ps4, Pia Ps4 na Ps5 zinapatikana kwa bei nafuu pamoja na Pads zinapatikana ukihitaji Tuwasiliane nipo Dodoma.
Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani.
Nakumbuka Machi 19, 2025, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam na mkandarasi kutoka...
Anonymous
Thread
barabara
bilioni 54
kero
kila siku
kongowe
kusimamia
mradi
rangi
siku
ujenzi
ujenzi wa barabara
Baraza la Vyombo vya Habari Kenya (MCK) limetaka hatua za haraka kuchukuliwa dhidi ya watu wanaoshambulia na kutishia waandishi wa habari nchini. MCK imesema jumla ya waandishi 18 na madereva wawili kutoka vyombo mbalimbali vya habari wameshambuliwa na kujeruhiwa katika kipindi cha miezi miwili...
Ndugu zangu Watanzania,
Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi.
Tanzania...
Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana....
Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote.
Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf
Pombe ni...
Nasikia watu ambao hatuamini uwepo wa Mungu (huyu wa kwenye dini za Ukristo na Usilamu) tutaenda kuchomwa moto na yeye. Eti ka mind kuwa hatuamini yupo na hatumjui ukizingatia yeye mwenyewe hajaja kutuonesha ushahidi wa wazi ambao ungefanya tumuamini, zaidi kaacha binadamu ndio watangaze uwepo...
Acha Kiherehere cha Kutaka Kuona Yasiyoonekana
Utazika Furaha Yako Milele!
Watu wengi mpo hai na mna amani kwasababu tu Mungu amewaziba macho msione uchafu na uozo unaowazunguka.
Mnaishi kwenye uongo wa kutengenezwa na ndio maana mnakula, mnalala na kucheka. Lakini kuna wajinga fulani wana...
Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo.
Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia.
Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema:
“Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.”
Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
INJILI ZA KILEO
zimemtengeneza tafsiri ya Mungu inayoendana na matakwa yao na tamaa zao za mwilli,yaani Mungu wa aina mpya kwa sura ya Mungu atakayewachukuliana na dhambi zao bila kuwa adhibu,mwenye neema nyingi hata kama mtu ataendelea kudumu katika dhambi bila kuwa na lengo la kutubu na...
kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia.
hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya nondo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.