Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Nguvu nyingi wekeza kwenye kujua unataka nini ili usiendelee kusumbuka na kila chaguo linalopita mbele yako kwa sababu unaweza kusema hujaona chaguo lako kumbe tayari lilikuja ukapishana nalo kwa kutolijua.
Wengi tunawekeza nguvu nyingi kwenye kutafuta lakini hatujui tunachokitafuta kikoje ndio...
Ijumaa Karim.
Mara kadhaa nimekuwa nikiona kwenye sherehe mbalimbali na hata wakati mwingine kusikia kwa waliona sherehe ambazo sikubahatika kuudhuria haidha kwa kutoalikwa au vinginevyo wakisifu ubora na ustadi wa sherehe husika huku wakichagiza kwa umwagikaji wa Champagne na vitu kadhaa...
Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani.
Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
Aweso Tangu msifiane pale Dawasa sasa hivi maji yanatoka kama hozi la kenge yaani maji hakuna kabisa zaidi ya wiki sasa mnafungulia maji dk 15 kisha mnakata , hivi hii nchi tuna LAANA gani ?
Pale Manzese maji yanatoka na tope sijui walisahau kuweka dawa ya kusafishia , unajua hizi nafasi...
Huwa na jiuliza. Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini?
Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi.
Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu.
Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndio hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne...
Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale...
Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu ningetamani nichezewe hii. Ili inisindikize huko kunaposemekana kuna Afterlife...
Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja.
Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona umewaelekeza kwa fulani kesho anaweza kwenda kwa huyo na kinapokwisha mteja anaweza kuuliza kinapatikana...
Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui...
Sijui kama nachunguza sana, lakini huwa hivi...
Mwanaume na Mwanamke wakikutana kufanya tendo Kuna hisia nyingi za tofauti uonekana. Nini hasa kimekuvutia kufanya ngono na huyo mwenza wako ??
Haya ni matukio baadhi ninayoyajua hutokea siku ya kwanza kusex na mtu fulani.
1. Unapewa ndio ila...
Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.
Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.
Hii inashangaza sana.
Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi.
Katika Hali hii ya ushiriki wake...
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe...
Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.
Nimemaliza nazima data
Hata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.