Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani.
Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania.
Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu...
Unajua kwa mfano kwa mikoa kama ya kwetu midogo Lindi,SINGIDA n.k huenda kuna siku inaweza kupita mtu hajafariki dunia monchwari nyeupe ila kwa matukio ya kusikitisha tunayosikia Arusha sidhani kama kwa siku kunalala dry.Aisee serikali tunaomba muongeze nguvu muanzishe operesheni maalum ya miezi...
Tukisema kwamba watu sasa hv watu wanakufa Sana wanakuja ma Great thinkers wanasema hapana misiba iko Tu daily.Ni kweli vifo viko kila siku kila saa ila kwanini kuna pindi habari zake zina trend kuliko kawaida kwa mfano sasa hv tuseme kuanzia mwezi wa sita kwa mimi BINAFSI mitaani na Katika...
Habari wanaJF,
Naomba kuelewa hapo kwanini kesi ya Lissu inachukua wiki mbili mpaka kusikilizwa tena.
Pili naomba kujua yule anayekaa chini ya hakimu ni nani Na kazi yake ni ipi
Naomba anay jua hayo mambo anipe msaada na mimi nielewe tu .
Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao.
Mzee Makamba akasema wema huwa hawafi huku akichombezwa na vicheko vilivyokuwemo mle ukumbini. Lakini miongoni...
Leo nakumbuka miaka ya nyuma hadi nacheka. Boarding school hiyo flani watu tulishajiandaa jioni wali maharage. Siku za wali maamae tulikuwa na furaha kichizi. Hukuti kwenye pipa chakula kimemwagwa.
Mara watu tunaingia dining ugali na maharage. Ngumi zilitembea Kwa wapishi na walimu wa zamu...
Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo.
Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna kielelezo chochote kuhusiana nalo kwenye biblia zaidi ya maelezo ya kujitegemea ya Ellen G White...
Sio kwa sababu ya kuwakwamisha zoezi lenu bali ni kuwasaidia nao kuweka rekodi zao sawa.
Kila nikipita barabara hii ya Morogoro nakutana na makumi kama sio mamia ya Wazee kwa Vijana waliojiajiri kwa shughuli tofauti tofauti.
Wapo Walima mbogamboga, Wapiga paving blocks,Wauza miche,Mafundi...
Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko.
Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi
Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2 kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
Kama mungu ameahidi kuwa hurumia na kuwapa pepo wagonjwa wa Tauni apa duniani, aangalie kwa jicho la pili awa ndugu zetu waliozaliwa na kilema cha kuongea au kusikia au kuona maana wanapata shida katika moja na mbili.
Vuta picha mtu kazaliwa kipofu hajawai kuona jinsi gani ulimwengu ulivyo...
Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kwanchi hizo kujizuia kulipa mashumbulizi. Cambodia imeitaka Thailand “kusitisha mapigano mara moja”...
Majeshi majeshi!
VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU!
Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza)
Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata!
Muda wa...
Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi
Msaidieni kwa hilo, maake nimemuomba ajiunge na gereji yangu akasema hataki kuajiriwa
Ujumbe Muhimu wa Onyo
ICYMI (Kama Hukufahamu): Giza la Siku 3 Halikughairiwa, Bali Lilizuiliwa. Mwenyezi Mungu yuko kimwili hapa duniani na Ufalme Wake huru.
Vifaa vya Hukumu vinazunguka duniani kote. Huu ni onyo kwa wakaazi wote wa dunia, likionyesha kuwa hakuna muda tena kwa uovu duniani kwani...
Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji,
Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji.
Siku nazungumza nae alikuja ofisini kwangu, akaniomba nimtolee Njiti.
Basi bhana nilikua na upwiru mwingi kijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.