sheria

  1. Labyrinth 84

    Sheria ya miaka 30 kwa bangi na mirungi ipitiwe upya

    Hii Sheria ya mtu amekutwa na bangi au mirungi na kupigwa mvua ya miaka 30 naona kama haifai kabisa. Sheria hii imekua mwiba kwa vijana sana , kijana wa miaka kuanzia 18 mpaka 39 unampa hukumu ya miaka 30 jela hapo unakua unamfunza au kumkomoa? Stage ya ujana inaaminika ni hatua ya mtu...
  2. Dr. Zaganza

    Naomba msaada wa Sheria; Ndugu yangu kaangukiwa na tofali Kariakoo, wanagoma kumfidia

    Habari wakuu, Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
  3. Chizi Maarifa

    Kwa hili suala la Hotel sheria zinasemaje? Maana tusije fikishana mbali

    Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in...
  4. BabaMorgan

    Hivi kweli sheria haisemi chochote kwa mwanamke aliyekuja ghetto na kugoma kutoa mzigo

    Hapo ukiforce bila ridhaa yake ni kosa la jinai ila huyu mtu tumekubaliana kabisa Kuwa akija tunamalizana ghafla kabadilisha maamuzi. Huu si unyanyasaji wa hisia mi nishakula vinavyohitajika kuliwa afu mtu anabania game huu ni ukatili
  5. Sajo

    Je, kwa nini madereva wengi huingiwa na hofu wanapoona askari wa usalama barabarani?

    Jibu ambalo utalisikia mara nyingi si kwamba wanachukia sheria, bali wanahisi wanaweza kubambikiwa makosa au kutozwa faini hata pale wanapoamini hawajakosea. Badala ya askari kuonekana kama walinzi wa usalama, kwa baadhi ya madereva wamekuwa ishara ya usumbufu na hofu kila wanapoanza safari...
  6. Tlaatlaah

    Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  7. M

    Karia ni familia, Pongezi kwake, Zifanyike kila jitihada Yanga asiingie kwenye vyumba vya kubadilishia nguo akatwe hadi points 20

    Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. 😄 Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa" dressing room au kama vipi wawekewe kabisa hizo dawa. Lengo liwe ni kuwafanya wasiingie vyumbani Si...
  8. R

    Madeleka matata sana, lakini ile defection ya kwenda ACT ilishushà morale yake kwangu. Msikilize na sheria hapa

    Vijana walishitakiwa kwa kigushi nyaraka na kijipatia mokopoya HESLB waachiwa huru! Msikilize anavyio jinadi
  9. MamaSamia2025

    Hawa QNET wapo juu ya sheria?

    Juzi nimeangalia ITV Habari nikaona QNET wamefanya utapeli wao tena huko Same, Kilimanjaro. Utaratibu wao ni uleule wa kuwakusanya vijana toka sehemu mbalimbali na kuwapa matumaini hewa ya maisha. Yaani vijana wanakuwa kama misukule. Kesi za QNET ni nyingi sana kiasi kwamba najiuliza kama wako...
  10. Roving Journalist

    JKCI yajibu hoja kuhusu utendaji wa uongozi wa taasisi hiyo, yasema Sheria, Kanuni na Taratibu vinazingatiwa

    Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUMS INAYOHUSU UONGOZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
  11. A

    KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  12. mrxtz2026

    Dkt. Nchimbi: "Hakuna Sheria Inayotengua Katiba, Watanzania Pambaneni Mpate Katiba Mpya!" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi. Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
  13. Parabolic

    Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria

    Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa uagizaji wa mafuta, huku baadhi ya wadau wakidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali yameongeza...
  14. O

    KNCHR Yapendekeza Sheria Mpya ya Kusimamia Maandamano na Mwenendo wa Polisi

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini Kenya (KNCHR) imewasilisha pendekezo la sheria mpya inayolenga kuweka mfumo wa kisheria wa kusimamia maandamano, mikutano ya hadhara, kupiga kambi za maandamano na mwenendo wa polisi wakati wa shughuli hizo. Pendekezo hilo la Sheria ya Uwezeshaji wa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Narudia, Vita sio maonyesho kama World Cup. Vita havinaga Macho wala sheria

    NARUDIA, VITA SIO MAONYESHO KAMA WORLD CUP. VITA HAVINAGA MACHO WALA SHERIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui kwa nini watu wanapumbazwa na artificial laws, editing, makeup. Vita ni jambo la asili. Inapotokea sheria za kutengenezwa hazifanyi kazi. Na ukiona zinatumika ujue ni ulaghai...
  16. Fbn

    Mapinduzi ya Uturuki na waliyokumbuka na sheria zikabadilishwa ila hapa Tanzania mnaogopa nini?

    Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa. uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona mpo kama hivi
  17. Fbn

    China imeongeza sheria ya PHD ila tanzania PHD hata wasio soma na waliopata F wanazo hapa.

    Elimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti. Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa kubuni kitu ambacho hakitakuwepo na kinaweza kusaidia nchi mpaka dunia ndio unapewa PHD. Huyu masuya na...
  18. Fbn

    Wanaume tunapotezewa mda ila sheria zijawahi kuwa na sisi embu angalia hapa

    Wanaume kila sheria ina tufanya kuwa wakosaji. Leo mzazi mwenzake anatamba
  19. Traxtion

    Samia: Hakuna aliye juu ya Sheria zetu, atakayevunja sheria atashughulikiwa

    Samia anasema kuwa Tanzania ipo vizuri katika kufuata misingi ya haki za binadamu kwa muda mrefu huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Mama huyo ameyasema hayo wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Arusha,Tanzania.
  20. M

    Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
Back
Top Bottom