BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri. Hapana. Sisi ni watu wa principles, watu wa kanuni.
2. Ukishakuwa mtu wa principles watu wengi...
Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025.
Sheria hiyo inaweka adhabu ya kifungo cha hadi miaka mitatu kwa vitendo vya ushoga, na hadi miaka mitano au zaidi kwa...
Kuanzia mwaka 2027, Ulaya inashinikiza watengenezaji wa simu na kompyuta mpakato (tablets) kubuni vifaa vyenye betri ambazo watumiaji wanaweza kuzibadilisha kwa urahisi zaidi.
Kanuni hii ni sehemu ya juhudi pana zaidi za kufanya vifaa vya kielektroniki vidumu kwa muda mrefu na kupunguza taka...
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amethibitisha kuwa ujio wa ofisi hiyo katika Makao Makuu ya CHADEMA leo Jumatatu, Juni 1, 2026, ulikuwa na agenda moja tu ya kisheria inayohusu uundaji wa sera na madawati ya jinsia, huku akigoma katakata kujibu maswali ya wanahabari kuhusu...
Yaani kwa alichokisema huyu baba kwenye hii video na kinachoendelea ni kwamba TANZANIA HATUNA BUNGE
-----------------------------------
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, amesisitiza kuwa ni wajibu wa kisheria na kikatiba kwa wabunge kurudi kwa wananchi...
ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?
Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
Anonymous
Thread
ccm
ilemela
majengo
mapya
mwaka
mwana
mwana ccm
mwanza
serikali
serikali ya ccm
sheria
wananchi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake.
Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi.
Pascal Mayalla
Binafsi nafikiri Sheria ya kubinafsisha mali aliyoiweke Mwalimu Nyerere iendelee kuwepo ILI wale wote watakaobainika kutumia raslimali za umma kwa faida yao binafsi mara watakapo tiwa hatiani ziweze kubinafsishwa na kutumiwa kwa manufaa ya umma.
Nafikiri kuifuta kabisa hii sheria ni sawa na...
Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani.
Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu.
Unakuta taka zina nailoni mbali mbali na materials nyingine ambazo zinaweze kuwa na madhara ya kiafya kwa wakazi wa maeneo hayo.
Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo lililotokea baada ya watoto kumaliza masomo yao.
Kinachonisikitisha ni kwamba, kuna wanafunzi 21 tu...
LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI
Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria.
Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini.
Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria.
Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini.
Pili...
Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali yanayofanywa na wanachama wake
Si mara moja au mbili wamekuwa wakiwaandikia barua za onyo na...
Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri.
Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa.
Jiulize, kwa nini PM amekuja leo ati ametumwa kuwa sheria ya kutaifisha mali ifutwe?
Awamu hii wameiba sana, wanaogopa wao au...
Watanzania wengi tunaendelea kuamini kuwa siasa za amani mshikamano na kuheshimu sheria ndizo msingi wa ustawi wa taifa letu.
Ndiyo maana kumekuwa na wito mkubwa kwa vyama vya siasa hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kuwa shughuli zao za kisiasa hazigeuki chanzo cha...
Wamiliki wa makampuni ya ulinzi binafsi wanapaswa kuwasilisha kilio chao kwa njia ya kitaalamu, kisheria na yenye hoja nzito kuhusu umuhimu wa kutungwa kwa sheria maalum ya kusimamia sekta hiyo pamoja na madhara ya kucheleweshwa kwa muswada husika.
Wanapaswa kueleza kuwa kucheleweshwa kwa...
Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.