Mwanasheria William Maduhu amebainisha kuwa ushahidi wowote unaopatikana kupitia ukamataji au upekuzi unaokiuka taratibu za kisheria ni batili na haupaswi kupokelewa mahakamani.
Akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi kinachorushwa na Jambo TV, Maduhu ameeleza kuwa...
Kivuli cha Sheria na Wanyonge: Je, Vyombo vya Dola Vinamlinda Nani?
Katika jamii ya leo, kuna swali gumu linalozunguka kwenye vinywa vya wengi na kupiga kelele katika mioyo ya wale wote wanaopambana kila siku kupata riziki:
Je, sheria na vyombo vya dola vimekuwa ngao ya kuwalinda wananchi...
Kuna watu wanavunja Sheria za nchi wakidhani mabeberu yatawatetea mnajidanganya, lazima mtanyooshwa na Sheria za nchi bila haya. Hata mabeberu huwa yanaogopa kuvunja Sheria za nchini kwao.
Moja ya msingi wa Demokrasia ni "rule of law " all people are equal before the law, no one is above the...
Yani Kwa mfano, nchi A ina wakosoaji waliokimbilia nchi B na kupewa hifadhi,
Nchi A ikituma "watu wake" wakafanya operation Kwa siri nchi B kinyume na Sheria za nchi husika kama ubakaji, ufiraji, mauaji nk nk ,na baada ya uchunguzi ikabainika nchi A imehusika,
Swali .
Hatua zipi huchukuliwa...
Mpaka leo napoandika mada hii nakamilisha uchunguzi wangu wa kina katika swala la ndoa na kuhitimisha na swali moja.Ni kwanini mpaka leo hakuna nchi iliyopitisha sheria ya kuilinda ndoa kwa wanandoa?
Mfano hakuna sheria ya ugoni.Yaani hakuna sheria kuwa nikikulombea mkeo utanishtaki wala hakuna...
KAFULILA ANASEMA CHINI YA RAIS SAMIA PPP IMETOKA MRADI SIFURI HADI ZAIDI YA MIRADI 100
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Bwana David Kafulila amesema uelewa kuhusu Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) umeendelea kuongezeka miongoni mwa mamlaka za Serikali na wanasiasa...
Katika moja ya Sheria za kumlinda mtoto,hasa mtoto wa kike imejikita sana kumkandamiza mwanaume.
Moja ya Sheria kandamizi kwa mwanaume ni inayohusu mahusiano ya (zinaa) baina ya mwanaume na mtoto wa kike (baleh) ambaye anaitwa "under 18".
Kwanini hii Sheria ni kandamizi kwa mwanaume tu...
Kesi zinazotrend kwa sasa ni tatu. Ya kwanza ni ya jamaa aitwaye Kelvin aliyekamatwa akifanya mapenzi na mtoto (binti wa chini ya miaka 18) ambapo kisheria inahesabika ni kumbaka. Ambapo kosa lake la pili ni kusambaza hiyo video chafu mtandaoni. Cha kushangaza watu wengi wanamtetea mtuhumiwa...
Somo la uraia lifutwe,na somo la sati za kazi ifutwe kwa shule za msingi kisha watoto wasome sheria kuanzia angalau darasa la 5.
Sekondari pia Uraia liondolewe ,SHERIA NA SAIKOLOJIA yawe masomo ya lazima kusoma.
Jamaa ina rundo la watu wasiojua haki zao za msingi na hawajui ni kwa nmna gani...
Moderator chondechonde usiunge uxi huu kwani lazima tuambiane ukweli tuache kulishana matango pori
Pangueni hoja za msingi na soon atakuwa huru vinginevyo mtaishia kumlia vihela vyake na asitoke huko ndani
Rejea Kifungu cha 319 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Criminal Procedure...
Kichwa cha habari kinajieleza, naomba kukumbushwa maana hawa watu uwa mara nyingi ni wateule wa rais
Hivi Lazaro nyarandu anashauri nini rais?
Yanayofanywa kisiasa na kisheria hata mwalimu wa somo la sayansi kimu anaweza kukifanya hata badili kuwa ikulu
Cha kushangaza kwenye tovuti ya mahakama ukipitia hata hii kesi aliyopewa lissu tokea mwanzoni ya mchongo hakuna sehemu kuna taarifa.
Jambo jengine wanampa pongezi jaji wao masaju.
Play it fair asiyekupa upendo na wewe usimpe upendo , anayekuchukia na wewe mchukie , anayejifanya hakuoni na wewe jifanye haumtambui .
Ila tu hakikisha unamfanyia mazuri yule anayekufanyia mazuri
Walah hiyo taaluma ifutwe tu au la,
Ukitaka kunielewa,please FATILIA kauli za akina Mwabukusi na wanasheria wa serikali dhidi ukumu ya tundu Lissu hoi taaluma ifutwe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam
Kuna watu wanaamini...
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri Kifungo cha Tundu Lissu Kitawaamsha Usingizini Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanapenda sana Uropokaji mihemko kutukana Matusi na kutoa lugha chafu mbaya na hatari kwa Usalama wa Taifa letu.
Walikuwa wanahisi pengine Sheria inaangalia sura ama cheo cha mtu kisiasa...
Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria.
Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
hukumu ya lissu
katika
kesi
kesi ya lissu
kusimamia
kuu
lissu
mahakama
mahakama kuu
mahakama nchini
nchini
sheria
uamuzi
uhuru
uhuru wa mahakama
utawala
utawala wa sheria
wakili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.