serikali

  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Serikali kwakuwa hamna ajira za kutupatia , basi tunaomba mtuwekee mazingira rahisi ya sisi kwenda nje

    Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
  2. incognitoTz

    JamiiForums Tanzania Serbia Yatikiswa na Maandamano ya Kudai Uwajibikaji wa Serikali

    Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai uwajibikaji kufuatia kuanguka kwa paa la kituo cha reli mwezi Novemba mwaka jana, tukio lililosababisha...
  3. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

    TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao... Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣 Kwa mara...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  6. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iziangalie Barabara za Kahama, mashimo-mashimo ni mengi na inakera kutumia

    Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu. Barabara za mjini takribani kote ni changamoto, mashimo mashimo kila kona jambo ambalo linahatarisha usalama wa vyombo vyetu kuharibika mara kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chalamila, serikali wanapotutaka kulipia huduma za serikali wanajua malipo tunayolipa serikalini bila kupewa risiti ni kwa maslahi ya nani?

    Nchi ngumu sana hii
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hii sio haki, Haiwezekeni eneo langu ligundulike kuwa na madini halafu serikali inipangie bei ya kuuza eneo langu na inakuwa ni Amri sio ombi

    Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi. Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

    Huku vijijini tumevuna mahindi Mahindi yapo mengi mno. Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni...
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  13. goldcall

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba muunge mkono sera ya kuupinga ushoga kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump

    Kichwa chahusika. wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu. hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui...
  14. petro matei

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianze kuandaa Mifumo mipya ya Kodi za Magari, Pikipiki na Guta za Umeme

    Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena. Na pia Serikali ipunguze kutoa leseni za petrol station badala yake watoe leseni ya vituo vya kuuzia gesi haswa kwa dar na na...
  15. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Misamaha holela ya Kodi ni Wizi, Serikali inapoteza Mapato kwa Upendeleo

    Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali. Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

    Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 . "katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na mahakama kuagiza kufanyika mazungumzo kati ya Serikali na walipa kodi ambayo ni North Mara gold...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wengi wanafisha pesa nje serikali wekeni majina

    Hii List serikali wanayo lakini kwasababu wengi ni vigogo wa CCM hawawezi kuweka wazi. Pesa inasemekama ni zaidi ya trilioni moja imefichwa nje
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni mwanasiasa au mtumishi wa serikali?

    Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa. Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za...
Back
Top Bottom