Huu utendaji wa mazoea mazoea ulikua umeisha kabisa kipindi cha Hayati Magufuli naona sasa umerudi , mtu anaingia ofisini kitu cha kupitisha kwenye mfumo ata login kisha atakua anaitizama kompyuta yake huku anachezea simu mpaka siku inaisha na unakuta kwenye mfumo yeye anatakiwa kubonyeza just...
Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa madini na kutoa leseni tano kwa kampuni za Sotta Mining Corporation Limited (SMCL)-Wilayani...
Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK).
Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024.
Pakua Samia App kupitia Play Store...
Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka 2019 alipoondolewa Head Master aliyekuwepo na kuletwa Headmaster Mpya aliyepo mpaka sasa!
Je nini...
Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI hasa zile dini za Ulaya...
Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu.
Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia.
Kufuatia mlipuko huu...
Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi.
Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025 walipofanya kikao na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit...
Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu
Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla?
Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu...
Mkuu wa Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture, Sadoki Stephano ameelezea madai ya kuwa kuna changamoto ya Wanafunzi waliohitimu chuoni hapo kutopata vyeti huu ukielekea kuwa mwaka wa pili.
Amesema kilichotokea ni suala la kimfumo ndani ya Mamlaka ya Serikali na linashughulikiwa...
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.
Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.
Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye...
Wanaukumbi.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas.
Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu...
Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k.
Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki kuchangia pato la taifa lakini cha kusikitisha vyuo vya serikali vipo concetrated sehemu chache
Dar es...
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.
Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
Nipo hapa nafuatilia mkutano mkuu wa CCM.
Magambo ndie msanii peke yake aliyeimba vizuri, msanii asiyebana pua, rapper kutoka mchangani lakini amewafunika wote jukwaan, kawafunika woote hao wasanii walipewa mikopo na serikali.
Amewazid wote mpaka huyo almas, na tembo na kiba
APEWE mkopo haraka...
Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa Wizara karibu zote zimehamia Dodoma ambapo zina majengo katika mji wa serikali Mtumba.
Kwa miaka yote...
Kazaliwa 2003.
Chekechea na Primary: Shule ya English Medium...
O- level : Private
Advance : Private.
Kafika chuo kanyimwa bumu( boom)
Hajawa allocated.
Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.