serikali

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge waiomba Serikali kuwatumia watumishi walisimamishwa kazi USAID

    Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani (USAID). Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro

    Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro. Mradi huu ulikuwepo kwenye mipango ya maendeleo tangu Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 ambapo utekelezaji wake umeanza. Ujenzi utatekelezwa kwa gharama ya Sh. bilioni 336 ambapo hadi sasa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

    1. John Kijazi 2. John Magufuli 3. John Heche 4. John Mnyika 5.John Kaijage 6. John Kitwanga 7............. Aliyepata hasara ni John Babptist tu. Kama una akina john wengine wataje
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ajira 2,611 za Ualimu zatangazwa, huu sio mkakati wa CCM kuongeza wapiga kura?

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia sita kumi na moja (2,611). Serikali ilitoa tangazo hilo Februari 10, 2025 huku kwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini? Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali Lakini kwa ZBC...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto

    Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaainisha Mikakati ya Kuwawezesha Vijana Kushindana Kwenye Soko la Ajira

    BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hayo Februari 10, 2025...
  9. Jaya_lchemist

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa by Jay Alchemist

    Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa S01 Episodi 01 ********* Ni Alfajiri hapa Mwiki,Kasarani jijini Nairobi. Alfajiri hii ni kama zile alfajiri nyingine nyingi za mwaka. Alfajiri hii haifanani na zile alfajiri za mwezi Julai. Julai, mwezi ule kila mtu analalamika kuwa baridi kawa baridi...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali imelipa takribani bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini baada ya maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ulega ameyasema hayo jijini Dodoma siku ya Jumapili Februari 9...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Serikali yakiri Kijiji cha Dominiki kina changamoto ya maji, yaelezea mipango

    Siku chache baada ya Wananchi wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kulalamikia kuchota dumu sita hadi 12 ili wapatiwe huduma ya afya katika Zahanati ya Dominiki ikiwemo kwa Wanawake wanaotaka kujifungua kutokana na changamoto ya maji, Mamlaka husika imekiri uwepo wa changamoto...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe awaagiza Wanavyuo Kutumia Mitandao ya Kijamii Kueleza Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita"

    Mwenyekiti wa Kampeni ya *Mama Asemewe, Ndugu Geofrey Kiliba, amewataka wanavyuo kote nchini kutumia mitandao ya kijamii na elimu zao kueleza mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Pre GE2025 - Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo. Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi asimama bungeni kupigania ujenzi skimu ya nyendara, serikali yatoa majibu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi Ijumaa Februari 07, 2025 amesimama Bungeni kuiulizia Serikali kuhusu ukamilishaji wa Skimu ya Nyendara. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde amemjibu Mhe. Mbunge Samizi kwa niaba ya wananchi wa Muhambwe kwamba Serikali iko...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Je maliasili imebadili Sheria faini za pikipiki?

    Habari zenu ndg jamaa, naomba kuuliza kama Kuna mwenye kujua, nilikua najishughulisha na biashara ya kubeba mkaa hapa mkoan Dodoma katika mihangaiko yangu mwaka Jana mwezi wa na Nne tulikamatwa na maliasili Mimi na mwenzangu tulikua wawili. Mwenzangu pikipik ili kua mpya hata week hajamaliza...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Saranga Ubungo (Dar es Salaam) walia uhaba wa Maji, wadai ndoa zao ziko hatarini sababu muda mwingi wanautumia kutafuta maji

    Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, wananchi hao wamelalamika kutokuwepo kwa huduma hiyo na kutegemea maji ya...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali iwekeze kwenye kile wananchi na nchi ilivyobarikiwa ili taifa likue kwa Kasi kimaendeleo

    Hamjambo wote! Lazima Tafiti, chunguzi na tathmini zifanyike. Tujue Watanzania ni nini wamebarikiwa na kile wanachoweza kulifanya to the most. Kisha tungalie ni nini tunacho katika nchi yetu ambacho tunaweza kukitumia kuweza kuendelea na kuendeleza taifa letu kuwa taifa Kubwa zaidi. Huwezi...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Israel aliyeachiwa huru aitusi serikali ya Netanyahu.

    Ohad Ben Ami, 56 ni miongoni mwa mateka walioachiwa huru na Hamas ili kubadilishana na wafungwa wa kipalestina amesema wazi wazi. “I say to the families of the captives, go out and demonstrate and ask the Israeli government to move to the second and third stages of the deal,” “The only way to...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Majimbo 19 ya Marekani yamshtaki Trump kumpatia Ellon Musk nyara za serikali

    Majimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani. iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na mshirika wake,Ellon Musk funguo za kufikia malipo ya wafanyakazi wote katika serikali ya Marekani...
Back
Top Bottom