serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

    Kwa miezi mitatu mpaka mitatu na nusu wanafunzi wamekuwa nyumbani kutokana na janga la Corona. Na sasa masomo yamekuwa resumed tunaamini yataendelea na mwishoni mwa mwezi wa 11 au katikati ya mwezi Dec kutakuwa na likizo mpaka Januari. Shule ni Huduma. Tunalipia huduma ambayo ktk miezi hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10 hapa nchini. Akihutubia Bunge JijinI Dodoma, Waziri Majaliwa amesema mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa wa Corona. Ameongeza...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyozungumza Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbas

    Katika miaka hii mitano ya Serikali ya Awamu ya Tano kazi kubwa imefanyika. Sisi kama Serikali tumetimiza wajibu wetu, tunaiona nchi yetu inaendelea kupata maendeleo kwa kasi Serikali hii imehamasisha sana watu kulipa kodi na sio kulipa kodi tu bali waione thamani ya kodi wanazolipa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe mara moja biashara ya kusafirisha abiria mikoani

    Naitaka Serikali ifufue na ianzishe upya Shirika la mabasi ili gharama za usafishirishaji ziwe rahisi. Kwa kuliacha soko la usafirishaji abiria kuwa huru ndipo sasa gharama za kusafiri zimekuwa juu! Eti leo ili nifike kwetu IMALASEKO inanibidi niwe na kiasi kisichopungua elfu sabini (70000) hii...
  5. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, Sh34.88 trilioni

    Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, 2020. Katika kipindi hicho Serikali imepanga kutumia Sh34.88 trilioni kutekeleza shughuli zake zikiwemo za maendeleo. Kura 304 kati ya 371 zilizopigwa. Kura 63 zimepigwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watia nia ya Urais CHADEMA: Mmetangaza nia, mmejipangaje kuyakabili yaliyotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Maana for sure yatatokea hayo au zaidi

    Kwangu mimi nadhani mngeanza ku-address hilo. Kutia nia bila kulisemea hilo, kwangu mimi ni kupoteza muda. Kwa utawala huu watafanya kama walivyofanya Serikali za Mitaa au hata zaidi ya hapo. Kama bila aibu Ndugai anafanya anayoyafanya Bungeni na hakuna wa kumkemea: executive, mahakama...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kanuni zilizotungwa na Waziri kuhusu namna ya vyama vya siasa kuunda ushirikiano wa kisiasa zinaruhusu vyama kuunda Serikali ya mseto?

    Sheria ya Vyama vya Siasa(marekebisho ya sheria) ya mwaka 2018 katika kifungu 11(c) kinaruhusu vyama vya siasa kushirikiana kwa malengo ya kisiasa huku kanuni za kuunda ushirikiano huo zikiachwa mikononi mwa waziri husika. Swali langu ni je,wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu baadae mwaka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hasara hii ya zao la korosho iliyotokana na Serikali kujiingiza katika biashara ya korosho nani ataibeba?

    Hii ni sehemu ya uchambuzi wa Bajeti uliofanywa na ACT-Wazalendo
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya sababu za kuinyima kura Serikali ya CCM Oktoba 2020

    Kuelekea uchaguzi mkuu 2020, ndugu mtanzani amini usiamini unao uwezo wa kuiondoa CCM madarakani, nitaelezea kwenye uzi mwingine jinsi unavyoweza kulitumia sanduku la kura kuleta mageuzi chanya. Kwa leo naomba tukumbushane machache tu ambayo serikali ya CCM imeyafanya na hivyo kustahili kupewa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM miradi ya watu kama maji mpaka wakope ndio itekelezwe? Lakini majengo hutolewa taslimu?

    Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi. Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Sheria ya Ardhi Serikali za Mitaa

    Samahani wanasheria wasomii, napenda kujua kuhusu sheria ya umiliki wa ardhi serikali la mitaaa, kwani tumekuwa tukiteswa na migambo na vuobgozi wa maendeleo kuhusu uharibifu wa mazibgira ,hata kama ukilima sehemu isiyokuwa ndani ya hidadhi wanakukamata na fine ni zaid ya laki 6. Napenda...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini sukari imekuwa ni kama anasa kwa Tanzania na kwa mwelekeo hapa Serikali imechemka

    Ndugu zangu wana jukwaa hebu tujadili pamoja jambo hili la Sukari kwa Tanzania na bei yake ambayo sasa ni kero kwa nchi nzima, tulishuhudia Waziri akitangaza bei elekezi lakini cha ajabu bei iko juu palepale kwa maana ya Tshs 3000 na kuendelea. Sasa tuamini hii ni biashara ya vigogo wenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali inabidi ianzishe bodi ya bahari

    Tanzania tumejaliwa kuwa na eneo kubwa la bahari, bahari ni utajiri tosha.Nchi inapoteza mapato mengi kupitia bahari ambapo bahari ingeweza kuleta mapato zaidi ya madini nchini. Sekta hii imesahaulika sana na kufanya kuwa sehemu ya upigaji mkuu. Serikali inabidi ianzishe bodi ya bahari ili...
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya marekebisho ya kodi, Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/2021

    Baadhi ya marekebisho ya kodi KODI YA KIPATO (PAYE) Wanaopata chini ya tsh 270,000 kwa mwezi kutokakatwa kodi ya mapato. Watu wa kipato cha Zaidi ya 270,000 kwa mwezi lakini ni chini ya 520,000 watalipa kodi 9% KODI YA ZUIO KWA HUDUMA ZA MTANDAO Bajeti imeweka kodi ya zuio ya 10% kwa mawakala...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...

    Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi... Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
  17. T

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali haikuwachukulia hatua kina James Delicious?

    Kuna wakati niliwahi kusikia serikali imewachukulia hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akiwemo james delicious na amber ruti. Nimeuliza kwa sababu mara nyingi nawakuta hawa watu mitandaoni wakiendelea kujitangaza kua wanahusika na mapenzi ya jinsia moja au ya kinyume na...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya tamko lingine la Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania; Je, ni wakati muafaka kwa Serikali kutathimini upya mahusiano yake na taifa hilo?

    Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mwongozo wa Taifa katika kuendesha Shughuli za Utalii nchini wakati huu wa janga la Corona

    Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo. Akizindua...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni mambo yapi unaiambia serikali ya CCM "we can't breathe" ili CCM iondoe goti katika shingo za Watanzania, ili yawe ajenda ya uchaguzi?

    "I can't breath" ni kauli aliyoitoa George Floyd wakati askari mmoja huko marekani alipomkamata na askari huyo kuweka goti lake katika shingo ya George Floyd, jambo lililosababisha akose hewa kisha kufariki. Naipa kauli hiyo muktadha wa kitanzania kisiasa. Ni mambo gani ambayo yanafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…