serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu. Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wafanyakazi wanaolipwa maslahi duni ndio wanaoihujumu kampuni au serikali iliyowaajiri

    Habari wakuu! Uzi huu nimeuleta kwenye jukwaa la siasa ili ikiwezekana viongozi angalau wawili watatu wauone huenda wataamka. Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikuwa mgodini Bulyanhulu as security officer 2014-15. Kisha nikaacha kazi kwasababu zangu binafsi then nikaajiriwa na four Seasons...
  3. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ikimuamini huyu mwamba wa huko Mtwara hawezi kusaidia kuwaangamiza wasiojulikana na hata kutupa kinga thabiti ya janga la Corona?

    Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote...
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Malawi, Joyce Banda asema nchi hiyo haina Corona

    Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda amesema nchi hiyo haina virusi vya Korona na kuituhumu serikali kwa ‘kugushi’ takwimu. Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa Bi Banda alinena hayo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara. Aidha ametaka fedha za misaada dhidi ya Corona zitumike kwa...
  5. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali pingamizi la Serikali juu ya sheria ya habari iliyofunguliwa na watetezi wa habari

    #HABARI Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa kandamizi katika sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016./ Serikali yabwagwa kesi sheria huduma vyombo vya habari ====...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa zahanati ya Tambukareli mbaroni kwa kuisababishia serikali hasara ya Tsh. Milioni 14

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Temeke Jijini Dar es salaam imefanya uchunguzi dhidi ya mhasibu wa zahanati ya Tambukareli iliyopo katika kata ya Azimio, kwa makosa yafuatayo: (1) Kuisababishia hasara serikali kinyume na kifungu namba 284 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Niliposhambuliwa walisema nimeshambuliwa na waliotumwa na Mbowe sababu ya kugombea madaraka ya chama

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara) Mhe. Tundu Lissu leo Jumatano, Juni 10, 2020, kuanzia saa 5 asubuhi, atazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari, kwa njia ya kidigitali, kuhusu tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe. Chanzo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Brazil yaamuru Serikali ifungue website ya Serikali na ichapishe taarifa za maambukizi ya Covid-19 kama yalivyokuwa yanatolewa

    Hii ni kutokana na serikali kuifunga website iliyokuwa ina report trend ya maambukizi ya coronavirus/covid-19. Mahakama imetoa hukumu kuwa kupata habari ni takwa la kikatiba na Rais asitumie ugonjwa wa covid-19 for political gain! Mh CJ Juma, umewasikia wenzako? ==== A Brazilian supreme...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

    Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu. ''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali Kenya yatangaza wagonjwa wapya 127 wa COVID 19 na kufikisha idadi ya 2,989

    127 more people have tested positive for coronavirus in Kenya bringing the total to 2,989. Health CAS Rashid Aman said 2,247 samples were tested in the last 24 hours. 124 of the new cases are Kenyans while three are foreigners: 84 are male and 33 are female. The youngest patient is a...
  11. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Sambamba na ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere, Serikali ianze kutafuta pesa za kujenga njia kuu ya umeme (Backbone)

    Miradi hii ni ya gharama kubwa na utekelezaji wake huchukua miaka mingi. Ni maoni yangu kuwa, sambamba na ujenzi wa bwawa la mwal Nyerere, serikali ingeanza kutafuta fedha za kujenga njia kuu ya kusafirishia umeme itakayopita magharibi mwa nchi hasa katika mikoa ya Lindi, Ruvuma, Njombe, Mbeya...
  12. Honorable GPA

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

    Serikali ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu wa maabara za shule za sekondari itakaporidhisha. Serikali imetoa majibu hayo leo jumatatu tarehe 8 juni 2020 wakati ikijibu swali la...
  13. Wacha1

    JamiiForums Tanzania NMB Watatoa Dividend ya 48 Billion mwaka huu, kwa Serikali na shareholders

    NMB declares 48bn/- dividend to govt, shareholders THE government and other NMB Plc shareholders will pocket 48bn/- dividend payment this year which is equivalent to 45 per cent increase compared to 33bn/- paid in the previous year. Last year, the bank handed over 10.48bn/- dividend to the...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

    Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo. Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kwa kina kuwa na "Shirika la Maji la Taifa" na pia kuanzisha "Rural Water Access Agency" ya maji vijijini kama umeme wa REA

    Watu wanasema unapokuwa na njia ambayo kwa miaka mingi haizai matunda na bado unaing'ang'ania badala ya kutafuta njia mbadala ya kutatua tatizo, wewe una tatizo la akili. Suala la upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi, mijini na vijijini, limekuwa jambo ambalo limeumiza kichwa serikali...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ingekuwa inajali watu wake kama inavyosema, sehemu zinazoua sana kama Wami, Mbalizi zingerekebishwa haraka, bibi kijijini angepata maji

    Mara nyingi nasikia matamshi ya viongozi kwamba serikali inajali sana watu wake. Huwa najiuliza kila ninaposikia matamshi haya, kwamba hivi "watu" ambao serikali inawajali sana ni wapi hasa? Je ni matajiri ambao ndio wanafaidika na karibu 80% ya matumizi ya serikali? Je ni watu walioko miji...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Bunge kupitisha azimio la kumpongeza Spika Ndugai na Serikali kutobadili Makao Makuu ya shughuli zake

    Bunge la Tanzania leo linaendelea na shughuli zake katika Mkutano wa 19, Kikao cha 40 ambapo baadhi ya shughuli ni kupitisha maazimio mawili Azimio la kwanza ni Kuitaka Serikali kutobadili Uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi na Shughuli za Serikali Azimio la pili ni Kumpongeza...
  18. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva wa Kenya waomba Serikali yao kuingilia kati kumaliza mgogoro na Tanzania

    Trucks caring goods are parked at Isebania border at Kenya customs parking yard on May 19, 2020. Six truck drives from Kenya were denied access to Tanzania, [Caleb Kingwara, Standard] Kenyan truck drivers urge the state to intervene and facilitate their release after being detained in...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Ni wajibu wa Serikali kutupa majibu sahihi

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Serikali ni chombo cha wananchi chenye dhamana ya kuwaongoza wananchi wake. Katika dhamana hiyo serikali haiwezi kuukwepa wajibu wake wa kutoa taarifa zilizo sahihi katika jambo lolote lile kwa wananchi wake. Ni vivyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaacha kutoa bei elekezi ya pamba

    June 7, 2020 Mwanza, Tanzania Serikali yaacha kutoa bei elekezi ya pamba Waziri wa Kilimo Mh. Japhet Hasunga awaambia wakulima, bodi ya Pamba na wadau wa zao la pamba nchini kuwa sasa serikali imeacha kutoa bei elekezi ya zao la pamba. Waziri huyo wa Kilimo alibainisha kuwa mwaka jana...
Back
Top Bottom