Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali.
Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja...
Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla amesema wananchi wana haki ya kikatiba ya kuisema na kuikosoa serikali iliyopo madarakani. Dkt Kigwangalla amesema yeye haoni tabu kukosolewa au kutukanwa mitandaoni kwa sababu hiyo ndio siasa yenyewe.
"Wizara hii hata nilipokuwa mbunge kabla sijateuliwa...
SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme.
Hayo yamesemwa wilayani Rufiji mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati...
Nianze kwa kusema wazi!
Inchi yetu ipo kwenye mfumo wa "SOKO HURIA"
Inakuwaje kila Mara bidhaa inapoadimika Serikali inakimbilia kukamata Mali za wafanya biashara kwa (kupoka) kisa mtaani zimeadimika? ikumbukwe wafanya biashara Hawa wanazimiliki bidhaa hizo kihalali na wamelipia ushuru Sasa...
" Nimeambiwa hata Mkurugenzi wa hapa ana matatizo ajirekebishe, siwezi nikamtumbua mbele ya Askofu, madhambi yake anayajua ameuza eneo kule, kikao kikakaa na mkataba alisaini kwa Tsh Mil 225 na kwa taarifa za pembeni ziliingizwa Mil 400 " - Rais
@MagufuliJP
Mzukulu nilikuwa sijui kumbe nchini...
Kigogo ni lugha ya Wagogo toka Dodoma, sababu zinazopelekea kuipendekeza lugha hii kuwa lugha ya Taifa ni:
Kwanza ina kitu tunachoita Yodo, kisomi Yodo ni hali ya muziki wa utulivu toka nyimbo za Afrika Kusini, Wanyakyusa, Wanaigeria na nyimbo za marehemu Komba.
Pili wanaozungumza Kiswahili...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amepinga kitendo cha kukamatwa kwa waziri wa sheria, akisema serikali ya mseto inaweza kuvunjika juu ya suala hilo na kumtaka rais kuwahakikishia mawaziri utetezi wa kisheria.
Waziri wa Sheria Celestin Tunda alikamatwa na polisi Jumamosi...
28 Juni 2020
Chunya, Mbeya.
Tanzania
WAZIRI wa kilimo Mh. Japhet Hasunga amekutana na kuzungumza na wakulima na wadau wa zao la Tumbaku nchini kufuatia kuporomoka kwa bei ya Tumbaku mwaka wa nne mfululizo . Hivyo kuathiri uzalishaji tumbaku na wakulima kususa kulima kutokana na bei ndogo huku...
Huu ni muendelezo wa kutoa habari kuhusu utafiti wangu wa kitaalamu huhusu namba za serikali ambazo zinapatikana Wizara ya Fedha, kwenye report ya serikali ya kila mwaka.
Ni muunganiko wa nyuzi ambazo nimekuwa nikizotoa na kuzipa jina 'Namba zinanuka'
. ‘Namba zinanuka’ – Serikali imechangia...
Serikali imetaifisha dhahabu ya Kilogram 27.488 yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2.9 iliyoingizwa kinyemela kutoka Kenya
Dhahabu hiyo mali ya Mfanyabiashara Bhawesh Chandulal Gandecha, ilikamatwa na Afisa Forodha katika mpaka wa Tanzania na Kenya huko Sirari, May 15, 2020
Meneja wa TRA...
Ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kumeshaanzishwa magufuli jogingis ushahidi Ni channel ten.
Naomba kuuliza taasisi za serikali za kiulinzi na kisheria CHADEMA wakifanya hivyo litakuwa kosa?
CHADEMA wameminywa hawana watetezi sisi wapenda haki tusioegemea upande wowote tunauliza...
Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu.
Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza...
Kwa siku za karibuni Serikali ilitangaza kushuka kwa bei ya nishati ya mafuta. Jambo hili lilifurahisha sana watumiaji wa nishati ya mafuta lakini liliwakasirisha sana wenye vituo vya mafuta.
Kwa sasajinsi inavyoonekana, wenye vituo vya mafuta kama vile wana mgomo baridi. Vituo vingi ukitaka...
Habari wadau
Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana.
Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
Pengine watu wanaweza kufikiri kuwa sisi baadhi yetu tunaisakama sana Serikali kuhusu COVID 19 kwa kutumwa na mabeberu, la hasha! Tunafanya hivyo kwa kuwa tunawapenda sana ndugu zetu na watanzania kwa jumla.
Inashangaza sana kuona serikali inayojiita serikali makini ikitoka hadharani na...
Wakati serikali ya CCM inatuamisha kuwa China ni rafiki zetu na kuwa tuna historia ya miaka mingi na nchi hiyo. Miradi ya maendeleo ya serikali ya watu wa China nchini Uganda inagusa maisha ya watu moja kwa moja. Mfano wa miradi hiyo ni Naguru Hospital yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa nje...
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita kumekuwapo tabia ya Serikali kufungia magazeti mbalimbali, ingawa katika kipindi kuanzia mwaka 2016 hadi 2020 kasi ya kufungia magazeti ilipanda sana.
Serikali inatumia sheria yake ya vyombo vya habari kufungia magazeti mbalimbali yanayovunja sheria...
Rais Magufuli amempigia simu waziri wa madini Mh. Dotto Biteko na kumpongeza mchimbaji mdogo Samimu Laizer aliyeiuzia Serikali kipande kikubwa cha Tanzanite chenye thamani ya sh 7.8 bilioni.
Rais Magufuli amemtania Laizer kwa kusema sasa ataenda kuongeza mke na ikimpendeza aoe mwanamke wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.