serikali

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Samia Kagera CUP Yahitimishwa kwa Kuwahamasisha Vijana Kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mashindano ya Samia Kagera Cup 2024 yaliyowakutanisha vijana na wananchi wa Mkoa Kagera kwa kuwahamasisha kushiriki kikamilifu na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024, kushiriki shughuli za maendeleo, kuonyesha vipaji pamoja na kuongeza ushiriki...
  2. itagata

    JamiiForums Tanzania Serikali Ijenge shule za Michezo kila Mkoa

    Ndugu wana Jamiiforums Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na ya kujivunia kuona soka la Tanzania linazidi kukua na kuonesha mwanga mwema wa mafanikio. Pia ni...
  3. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Spika Tulia Ackson ajitosa kampeni za Serikali za Mitaa

    Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake. "Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Juma Duni Haji: Serikali ya Mtaa ndio Ufalme wenu, pigeni kura

    Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la Kinondoni, Novemba 22, 2024, amesema: "Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili. Itakuwa miujiza mitaa hii...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu Tanzania havina umuhimu wowote, serikali iwekeze kwenye vyuo vya kati

    Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya. Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu na vifani vingine vingi. Ingawa sifanyi kazi ya HRM. Iwe na sharti kila mahali penye...
  7. lugoda12

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Kura yako ni muhimu, usiache kupiga kura

    Kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27.11.2024, vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
  8. Bams

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa, Tunawapongeze Viongozi wa Dini Wanaokemea Udhalimu.

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  9. Bams

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa, hongereni viongozi wa Dini kwa kusimama katika Imani

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini kozi za uongozi wa serikali za mitaa zitolewe chuo kikuu mzumbe halafu za maedeleo vijijni zitolewe Chuo mipango Dodoma?

    Samia yuko Morogoro, time to trigger Hawa wa mitaa waungane hapo Dodoma?
  11. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wajibu wa Wadau wa Uchaguzi wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    1. Jeshi la Polisi 2. Vyama vya Siasa - 3. Wananchi - 4. Msimamizi wa Uchaguzi Chanzo: TAMISEMI 2024
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Shule ya Meta Sekondari Mbeya ni mali ya serikali, serikali itueleze CCM waliipataje?

    Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana wasiolala shuleni. Mji wa mbeya ulikuwa na shule za tatu kati(middle) tatu, yaani N.A. wavulana, Meta...
  13. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Ninachojua kuhusu Dhamana za Serikali za muda mfupi /T Bills

    1. Dhamana za muda mfupi zinaitwa Tresury Bonds au T bills✅ 2. Ni uwekezaji kama wa hisa✅ 3. Hazina kodi ✅ 4. Huwezi chukua muda wowote✅ 5. Zinauzwa siku maalumu✅ 6. Ni za serikali siyo binafsi✅ 7. Watu wengi. hawaujui kabisa aina hii ya uwekezaji✅ 8.Dhamana za muda mref zinaitwa Premium...
  14. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Shusha nondo kuhusu T-Bills au dhamana za serikali za muda mfupi

    Wakuu, kupitia uzi wangu wa UTT nimejifunza kuhusu T bills au Dhamana ya serikali za muda mfupi. Ninachojua ni Mnada kama wa fedha! MWENYE UJUZI WA DHAMANA YA MUDA MFUPI ASHUSHE NONDO!! #Bila-Nyinyi-Sitoboi
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sitashiriki kamwe chaguzi yoyote nchini Tanzania kwa sababu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa na Wizara ya Ardhi

    Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SERIKALI Ifanye msako wa kukagua haya magorofa kuna gorofa zinapicha ya ghorofa 3 gafla unaona 4 hii sijui inakaaje

    Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
  17. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa serikali kupitia fasihi juu ya changamoto za walimu by John Woka & Mkoloni - Walimu

    CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA.. "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala...
  18. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Itaheshimu ratiba ya mikutano kampeni Serikali za Mitaa

    CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali iliruhusu Mahakama ya Kadhi. Lakini ikasema Waislamu wajilipie wenyewe

    Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi? Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia...
  20. Mwakawasila

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki kwenye Mnada wa hatifungani za Serikali

    1.Fungua akaunti ya uwekezaji (BOT CDS ): Ili kufungua akaunti hii mwekezaji anatakiwa aambatanishe vitu vifuatavyo. a. Picha 3 za passport b. Copy ya TIN certificate c. Copy ya kitambulisho cha taifa 2.Baada ya kuhakikisha viambatanisho vinavyohitajika, mwekezaji anatakiwa Kujaza fomu ya...
Back
Top Bottom