serikali

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, chagua Chama cha Mapinduzi (CCM)

    UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 , CHAGUA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) #tumetekelezakaziiendelee #ChaguaCCM #shirikiuchaguziwaserikalizamitaa
  2. Hamduni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Siku saba za moto, mwenezi CPA Makalla aunguruma Kigamboni uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    📍 Kigamboni Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na...
  3. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania Micky Jnr kwa kuipakaza Taifa Stars

    Yupo mwandishi uchwara wa habari za michezo raia wa Ghana aitwaye Micky Jnr ambaye kwa ujinga wake ameamua kuwa upande wa wasio itakia mema timu yetu ya Taifa na kueneza habari za kuhanikiza iondolewe kwenye mashindano ya mpira wa miguu ya AFCON yajayo huko Morocco. Kama Taifa ni lazima...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

    Mnamo tarehe 18 Novemba 2024 nilienda hospitali ya rufaa ya Mloganzila kumtazama shemeji yangu aliyelazwa pale na kichanga wake aliyejifungua kwa oparesheni. Nilipofika getini nilielekezwa na walinzi sehemu ya kusubiria muda wa kuingia kuona wagonjwa. Nikiwa eneo hilo nilipata kusikia mawili...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Mkoa wa Simiyu: Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kampeni: Mgombea awataka raia wazidi kuzaliana ili serikali ijenge shule

    Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kambarage uliyopo katika halmashauri ya mji wa Njombe anayetetea nafasi hiyo kwa mara nyingine, Francis Msanga ametoa wito kwa wananchi wa mtaa huo kuongeza kasi ya kupata watoto na idadi ya wananchi iongezeke zaidi ili serikali iweze kuwapa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Macho yote Mwaka 2025

    Nikisiliza kwa makini namna kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka huu, nashuhudia kabisa kuwa uchaguzi huu ni maandalizi ya moja kwa moja kwa ajili ya mwakani. Si ajabu watu wanatekana, wanauana na kila aina ya hujuma wanafanyiana ikiwemo ndani kwa ndani ya vyama vya siasa na vyama...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Ritta Kabati apiga magoti jukwaani akimwaga sera kwenye Kampeni kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa Iringa

    Wakuu Kumeanza kuchangamka huko kwenye Kampeni
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa serikali kuhusu ukaguzi wa majengo Kariakoo, nimenusa harufu kubwa ya Rushwa

    Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu itatuhakikishia kupungua kwa majanga ya aina hii - majengo kuporomoka. Kwahiyo kama hili zoezi...
  12. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kulikoni imebaki wiki moja lakini hakuna nafasi zilizotangazwa sa Usimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi. Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu nafasi za kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Je safari hii Tume ina watu wake tayari?
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

    Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground. Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Uongozi wa Makete kuhusu Kampeni na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au kufanya fujo Rai hiyo imetolewa Novemba 19, 2024 na Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa...
  15. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria

    Tarehe 16 Novemba 2024 eneo la Kariakoo Dar es salaam kulitokea tukio la kuporomoka kwa jengo la biashara. Wakai jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi kuhusiana na jinsi ya kuwaokoa watu katika eneo hilo , zilipatikana taarifa za watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria ya...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dk. Suleiman Serera: Serikali haitamfumbia macho atakayechezea Sekta ya Mkonge

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Suleiman Serera serikali haitamfumbia macho yeyote atakayechezea Sekta ya Mkonge kwa namna yoyote kwani sekta hiyo mtambuka ni ustawi wa maisha ya Watanzania wengi wa kaliba na kada tofauti. Dk. Serera amesema...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwako Steve Nyerere: Ombi la kuwasiliana na Viongozi wa Serikali kuhusu msamaha kwa Niffer na Diva

    Mpendwa Steve Nyerere, Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
  19. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Nchimbi kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Mwanza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mwanza iboreshe ‘maeneo korofi’ ambapo mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya

    Maeneo ya Daraja la Masai Daraja la Masai Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru ambayo yana kina kifupi athari inazidi kuwa kubwa. Kinachoombwa na watu wengi ni kusafishwa kwa Mto...
Back
Top Bottom