sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asili ya binadamu haijifichi. Harmonize kafanana sana na Mkapa.

  2. JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  3. JamiiForums Tanzania kwanini ni rahisi sana kuwatapeli watanzania?

    nimekaa nimefikiria sana kwanini wabongo wanapigwa sana lakini bado tu hawachoki kupigwa yaani anatoka huyu anapiga hela anakuja mwingine anawapiga hela yani ni muendelezo tu, alikuwepo mr kuku, Jatu, forever living, n.k yani ni mwendo wa kupigwa tu, je ni uvivu au elimu? hapana maprofesa nao...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ongozeni kidigitali Kuna mambo ukisikia bado yanafanywa yanashangaza sana

    Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2. Wanafunzi kukimbia mchakamchaka na kuimba nyimbo za kambona na idd amini 3. Siku ya wafanyakazi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afrika ya magharibi na ya kati wanaishi kwenye umasikini mkubwa na wako nyuma ya muda sana.

    Nimebahatika kuona maisha ya nchi mbali mbali za afrika ila niseme wazi nchi nyingi za kusini mwa afrika kuanzia kenya, Uganda na Tanzania kushuka chini mpaka south africa wana maisha mazuri ukiondoa malawi kidogo. ila balaa lipo nchi za afrika ya kati na magharibi. Nchi kama Cameroon ni nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Nikiwa sina hela kila kitu nakiona kero na nakuwa na hasira sana

    Kuna hali huwa inanishangaza mwenyewe, nikiishiwa hela huwa nakuwa na hasira hasira tu za hapa na pale na pia kila kitu nakiona kero. Sitamani kufanya vitu ambavyo naona kabisa havitanipatia hela, au mtu kuniuliza maswali ambayo hayana mchango wa mimi kupata hela naona kero tu. Kuna wakati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

    Habari zenu, Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu??? Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao. Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna...
  8. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

    Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama. Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi. " Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara. Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi. Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na...
  11. JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Achana na wanawake wa kichaga, kuna hawa wanawake wa kisukuma (wanyantuzu) hawa mmmmh hatari sana

    Wanawake wa kichaga wa afadhali sana tena sana ukilinganisha na wanawake wa kisukuma au wanawake wa kinyantuzu aisee hawa wanawake sio poa kabisa wao kukurushia kisu au kukuambia maneno kama kutaka kukuua ni kawaida sana yaani wanawake wa kinyantuzu wao kwa mali ni pete na kidole yaani wao...
  13. N

    JamiiForums Tanzania RAIS PAUL KAGAME, EVALIST NDAYISHIMIYE NA FELIX TSHISEKEDI NI MARAIS WENYE WELEDI SANA?

    Kufutia kifo cha anayedaiwa kuwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kuonekana akiwa na marais wa nchi mbalimbali za Afrika mashariki na ukanda wa kusini na hata akipiga nao picha ikulu za ajabu ajabu, Tofauti na wafanyabishara kama akina Dangote, Mo Mohamed akipiga picha na Rais wa nchi huwa za...
  14. JamiiForums Tanzania TANZANIA IMEPIGA HATUA SANA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU SDG’s

    Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani IPU, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa eneo la Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania imepiga hatua kwa kuangalia mafanikio yaliyopatikana kwenye sekta mbalimbali ikiwemo nishati, maji, afya, elimu, Mawasiliano pamoja na uchukuzi ambapo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu alilazimisha sana nimpe namba ya simu ya mchumba wangu, sasa anampigia simu hadi mara 10 kwa siku kumjulia hali

    Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu. Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  17. JamiiForums Tanzania Askari wa Mashirika na Taasisi za Umma tuna raha sana

    Magufuli alipoingia alileta unemployment ya kiasi kikubwa sana. Majeshi ambayo ndiyo yalikuwa yakiajiri kwa wingi kutoka JKT hayakuweza kuajiri au yaliajiri kwa number chache sana. Kuficha aibu akaipa promo SUMA JKT ili ichukue vijana wanaotemwa JKT wakalinde ofisi za umma kwa ujira kiduchu...
  18. JamiiForums Tanzania Zai kama upo humu JF natumaini ulipata msaada ambao ulikuwa unahitaji. Sikuwahi kujua kuwa mwanaume anaweza mkimbia mwanamke sababu ya kutaka sex sana

    Kama ni pepo, kama ni high libido , kama ni tabia tu unajua mwenyewe aisee ila haukuwa wa kawaida. Kilichonichosha ni wewe kupendelea kutumia sex toys nikuchomeke kwenye jagina na MAKEBO yako huku nikiwa nakufanyia romance. Kila fikra iliomo kichwani mwako ni ngono na kila hamasa ya kufanya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania NILITAKA KUPOTEZA PESA KUTOP-UP FROM PIXEL 8A TO PIXEL 9 PRO LAKINI AI IMENIFAA SANA, THANKS AI

    Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa? Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a inawasha sana picha ila sikuwa naridhika na quality za hizo picha, nilitaka wateja wangu wapate kitu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinapeleka muda haraka sana, unaweza kudhani saa limepita kumbe ni masaa zaidi ya sita

    1. Stories na Marafiki 2. Games 3. Mitandao ya kijamii 4. Movies na Series
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…