sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika ni wabunifu sana

  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

    Naomba GENTAMYCINE nianze Kwanza kwa kutoa Pongezi kwa wana Simba SC Wenzangu wote ( hasa tuliopo hapa JamiiForums ) ambao tokea Juzi nilipoanzisha Uzi wa Kuzuia Mshambuliaji Ousmane Papi Sakho ( Raia wa Senegal ) Kuachwa ( Kutemwa ) Kikosini Simba SC kwa pamoja tulipaza Sauti zetu za Kuzuia...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Amekula sana hela zangu

    Mwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae. UPDATE Jamani yule mdada jambazi amefulia sana,hata...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arumeru, Dr. Pallangyo umetukosea sana Watanzania. Endelea Kuringa yana mwisho

    “Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki #LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kuachwa kunaumiza sana, asikwambie Mtu

    Nimeikuta mahali hii kitu, jamaa anaachika LIVE kisa maisha yamekua magumu. Wanawake Mungu anawaona.....
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

    Sijajua watu wanafukua wapi hela, Kila siku huku Dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number D, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Museveni anaeonekana kuifahamu sana Tanzania, hii sio hatari kwa usalama?

    Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania. Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk. Sasa ikiwa...
  9. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

    Thread was deleted
  10. Mama Debora

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanatubeba sana!!

    They dominate and represent Tanzania in many aspects of life: 1. Football 70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players. [UPDATE from DeepPond]: Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa. Yanga inadhaminiwa na GSM. Simba inadhaminiwa na Mo. Not to mention the likes...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kweli Dunia inaenda mbio sana leo Mbowe ni maarufu kuliko vikao vikuu vya CCM?!

    Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama. Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kesi kama hii unatatua vipi wakuu?

    Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika. Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule...
  13. C

    JamiiForums Tanzania January Makamba anakubalika sana Tabata

    Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto Ghafla umeme umekatika wakati tunalalamika majamaa yakaanza kutuambia tumpe muda mr kipara anatuletea umeme wa uhakika...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana leo

    Leo nimekutana na mtoto mzuriii mweupee mwembamba dah, nimempenda nikamsalimia akaitikia vizuriiii nikashindwa kumsimamisha roho imeniuma sana jamani
  15. luangalila

    JamiiForums Tanzania Manara kabadilika sana

    Wadau wa sports hasa football Hamjambo ! Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda...
  16. Mzee Wa Republican

    JamiiForums Tanzania Nimevutiwa sana na Subaru Impreza, nafikiri itanifaa kwa matumizi yangu kwa sasa

    Ndugu wananchi, Salaam za upendo wa dhati ziwafikie huko mlipo. Kwa siku za karibuni nimekutana na marafiki kadhaa wakimiliki magari mbalimbali. Kuna mmoja anamiliki Toyota Crown Athlete, mwingine Crown Royal, na mmoja wa Subaru Impreza. Katika magari yote hayo nimetokea kuvutiwa sana na...
  17. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Siku zote Java Script itaendelea kuwa lugha ya kipekee sana

    Matumizi ya javascript yanaendelea kukua kila siku kwa kuwa ndio lugha pekee inayoweza simama pekee yake pande zote mbili yaani frontend na backend aiseh nafikiri uwepo wa node. JS ni sababu moja kubwa ya javascript kuwa na sifa hii na kuinuka kidedea mara kwa mara. Mimi sina mengi nachangamsha...
  18. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia apate mapumziko, amefanya kazi kubwa sana, tangu mwezi march hajapumzika

    Afya ya Rais ni muhimu. Kazi ya Urais ni ngumu, kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana, wakati mwingine analala akiwa safarini, wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka ndania na nje ya nchi, Wakati wote atatakiwa kutatua changamoto au kutoa maelekezo, yamkini asipate muda...
  19. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa Kabakiza Siku Chache Kupoteza Uhai. Hatari Sana...!

  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mhhhhh...Simba SC yangu 'Nakupenda' sana tu ila hili la Uwanja wetu 'Mchakato' ni wa mapema na wa 'Kimhemuko' zaidi

    Anyways nawatakieni Kila Ia Kheri wote.
Back
Top Bottom