sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. mama D

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Bendi 'Nitakopa sana' tu na Bendi 'Madeni yatauza nchi' yetu?

    Ukiona tu walioko Juu Wanapishana ( hasa kwa Kauli zao ) jua Kwanza Dhambi Kuu ya Unafiki dhidi ya aliyelala 'mazima' Ziwani inaanza Kuwatesa lakini pia ni dalili tosha kuwa sasa 'Wanawindana' na huenda ama Wakasalitiana au hata tu Kuumizana kwa Kumalizana. Natabiri tu Msiba nchini 2022 au 2024.
  3. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na John Mrema wameizungumzia vizuri sana hii ishu ya Mikopo na Ndugai

    Anaandika Godless Lema: “Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH. Ndugai ni mzigo mzito sana...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: CCM wanamdharau sana rais Samia

    Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm. Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai...
  5. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Wenye LINE nyingi za simu mnakera sana..!

    Binafsi nakerwa sana na watu wenye "line" lukuki za simu. Unakuta mtu ana line ya voda, tigo, airtel, zantel nk. Zote izo za kazi gani?? Matokeo yake kila ukimtafuta mtu utasikia mara.. "Nicheki kwenye airtel hiyo Voda haina chaji.." "Nipigie namba ya tiGo, airtel nimeacha nyumbani" "Hela...
  6. Priscallia

    JamiiForums Tanzania Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

    Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja. Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine. Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila...
  7. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Kwakweli tumetoka mbali sana

    Naomba tujikumbushe, kwanini kwa matamko haya tusiidai katiba? MSIWABATIZE WATU KWA JINA LA UGAIDI,KISA ....
  8. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushuhudia utiaji wa saini wa Mkataba SGR

    Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha kilomita 368 kutoka Makutupora hadi Tabora utatiwa saini leo Ikulu huku rais Samia akishuhudia Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Godfrey Mwakikagile nani anamfahamu huyu jamaa anaonekana ameandika vitabu vingi sana na Mtanzania

    Mwakikagile's books are used in various academic disciplines up to the post-graduate level including doctoral studies. He has also been invited to give lectures at different colleges and universities. And as a public intellectual, he has also been sought for interviews by BBC, PBS and Voice of...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati 'tukihangaika' Kumsifu sana Mayele kwa Goli lake la 'Kawaida' mno huko Redioni, tusijisahaulishe na 'Takwimu' hii

    Kibu Denis Mechi 7 Magoli 4 Fiston Mayele Mechi 10 Magoli 3 Nawatakieni 'Upuuzi' mwema katika Kumsifu 'Kishabiki' Fiston Mayele huko katika Redio zenu ambazo GSM wanatoa 'Asante' kwa Watangazaji na Wachambuzi ambao Kutwa huwa wanaisifu ( wanaipamba ) tu Yanga SC hata kama kwa mara ya Pili...
  11. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

    Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile. serikali inamlinda sana. Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Wameibuka wandishi wa habari wenye masihara sana, ni afya kwa Taifa?

    Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu. Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  14. The king mswati

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

    Kitu ambacho nimegundua, mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe. NB: SIJAZUNGUMZIA...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

    Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE na tunaomjua Kocha Matola na Swahiba wake mkubwa Meneja Rweymamu wala...
  16. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania "Dokta nimekuelewa, ila kama unadhani hizo Dawa ni Tamu, Meza wewe"

    Kiukweli binadamu ni wabishi sana. Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄 Anyway, hawa ndio binadamu.
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Polepole anawasalimia sana na ameanzisha #kataawahuni.

    Yule mwamba aliyepewa jina la kiroboto na wahuni anawasalimia sana na hivi punde kupitia ukurasa wake wa Twitter atawatakia kheri ya Sikukuu ya Noeli. Kikubwa ametuomba tuendelee kuwakataa wahuni kupitia hashtag yake aliyoianzisha ya #kataawahuni
  18. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole na Genge lako mtakwama sana, hamuwezi kushindana na dola.

    Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi; 1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie. 2.Mmejaa visasi na roho mbaya 3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu 4.Chama ni kikubwa kuliko nyie 5.Kuna wakati ni...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Kwani kinachoshindikana kulipa malimbikizo ya Watumishi wa Umma ni nini? Inaumiza sana

    Siku chache zilizopita, Waziri wa Utumishi na Utawala Bora akiwa mkoani Kigoma, alijinasibu kuwa kuanzia tarehe 20/12/2021 yaani siku ya Jumatatu iliyopita wataanza kulipa malimbikizo ya watumishi. Cha kushangaza wamelipwa baadhi na wengine hatujalipwa. Hivi kweli tokea Mei, 2019 mpaka sasa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza...
Back
Top Bottom