sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukiweza kudhibiti matumizi ya sukari katika familia yako utaiokoa sana

    Sukari tunayoihitaji mwilini tunaipata katika vyakula tunavyokula. Chapati, majimbi, viazi, mkate vyote hivi vinatupa sukari. Unaweza kabisa kunywa chai bila sukari. Wana historia wanasema kabla ya kugundulika kwa sukari, ingawa afya ya meno haikuwa bora kama ilivyo sasa lakini matatizo ya...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Khadija Kopa: Najutia sana kitendo cha kufanya abortion

    Khadija Omar Abdallah Kopa (amezaliwa Zanzibar, 1963) ni mwimbaji wa muziki wa Taarab na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania. Mbali ya muziki, Kopa ni mama wa nyumbani, mfanyabiashara na pia mwanaharakati wa kisiasa nchini Tanzania. Khadija Kopa Jina la kuzaliwa: Khadija Omar Abdallah Kopa...
  3. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  4. sumu-ya-panya

    JamiiForums Tanzania Ex-wife kaolewa lakini ananifatilia sana

    Habari , Nilikua naishi na mwanamke ambae katika kukutana kwetu alipata ujauzito nikachukua jukumu la kuishi tukaenda kwa wazazi ingawa ndoa hatukufunga , mwezi 3 2021nikiwa njee ya Tanzania ,Aliondoka baadae ya kugombana na mume wa mtu bar, niliwasiliana nae nikiwa uko nje ya nchi arudi...
  5. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Ku date na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana

    Habarini wanajamvi.... Natumai wazima wa afya. Nimeamua niwafikishie ujumbe kwamba kudate na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana. Kila wakati anajishtukia tu na kukupa vizuri ujinafasi.. Atakaebisha abishé....
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kwenda mahala kuogelea kwenye swimming lakini nikiwaza vikojozi hamu inakata kabisa

    NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini! Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa na maneno ya msingi sana ya Biblia Takatifu!!

    Baada ya kuona mwaka 2021 umemalizika, na muda mrefu sana sijajihusisha na mambo ya dini, nikatahayari sana. Asubuhi mapema nikatafuta boksi langu ninalotunzia vitabu vyangu vya dini. Nikapekuapekua, paap!, nikakutana na Biblia kubwa kabisa nyeusi nilipewaga na mama yangu. Nikafumba macho...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kila niisikiapo sauti ya Mzee Mangula iliyojaa mamlaka na unyenyekevu nafarijika sana

    Katika miamba ya siasa, utawala na uongozi kwenye nchi hii sio rahisi kushindwa kutaja jina la mzee Philip Mangula, makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara. Ni moja ya watu ambao wameacha historia muhimu sana na ingewekwa kwenye vitabu ingefaa sana kwa vizazi vijavyo. Ikimpendeza aandike kitabu cha maisha...
  9. nyboma

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya URAIS inadharaulika sana awamu hii ya sita

    Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala. Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum...
  10. vnn

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  11. Jile79

    JamiiForums Tanzania Mabaa medi na Makonda ni watu wenye akili sana

    Km kichwa cha hbr kilivo hapo juu. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeniii... Nimekua nikiwafatilia kwa muda sasa naweza kukiri kwa kinywa changu kabisa... Hawa watu wakiwa kwenye majukumu yao ni watu makini na wanatumia akili nyingi sn... Km unakubaliana na utafiti wangu hebu tueleze kisa...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ulalamishi kwa Zanzibar unaonyesha Wabantu (sisi) ni Watu Wavivu au labda low IQ pia!

    Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi. Tanzania...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kutibu badala ya kuzuia unatugharimu sana kimaendeleo

    Tumezoea sana kungojea mambo yaharibike ndipo tunaanza kushuhurikia matatizo yaliyojitokeza. Hivi karibuni tumeshuhudia operetion kabambe ikiendeshwa nchi nzima ya kuwahamisha wamachinga kwa gharama kubwa kutoka sehemu zisizokuwa rsmi na kuwapeleka sehemu tunazodhani zitakuwa rasmi kwao...
  14. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Inauma Sana

    Habari wana JF Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia king’amuzi full package, umenyoa vuziii umepiga kipara,.....................hivi vitu gani vingine huwa...
  15. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona CHADEMA wanalishambulia Bunge kwa kuisimamia Serikali

    Siku zote kilio chetu ni kuona Bunge linaisimamia vyema Serikali. Lakini inasikitisha sana chama cha upinzani kinapotoa baraka Serikali isiweze kuhojiwa na bunge. CHADEMA kimedhihirisha ni chama cha ujanja ujanja kisichosimamia misingi ya demokrasia. Kitendo cha viongozi na mashabiki wa...
  16. Slowly

    JamiiForums Tanzania Kwa Siri Sana Diamond Platnumz na Bi Zuchu wafunga ndoa

    Tuwaombee wawe na ndoa yenye baraka na fanaka
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usimuonee huruma Mwanamke

    Kwa mkono wa Robert Heriel. Wangestahili huruma lakini si sasa. Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi. Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi. Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya...
  18. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana, gari lililobeba mwili wa marehemu Joel Chacha lapata ajali

    Engineer wa TCRA aliyefariki majuzi msafara wa maziko umepata ajali. Inasikitisha sana.
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wetu wa Bavicha mbona wanapenda kupiga dili sana? Kama kitabu kinamhusu kamanda Mawazo kwa nini hela zisiingie akaunti ya chama?

  20. mama D

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
Back
Top Bottom