sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Amini, usiamini. Ukitaka kuwa tajiri miaka 10 ijayo, fanya hili. Usidhani ni mbali sana, Utanikumbuka

    Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano: 1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee Pangani, itakuwa shortcut kwenda Tanga hivyo magari mengi yatapita. Mbele yake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu 3 makali sana waliyonayo mbumbumbu fc

    Ni dhahiri shairi awa wenzetu watani zetu usiku wa kuamkia leo nafikiri awajapata usingizi kutokana na matukio yaliyojiri jana, Ni maumivu makali wameyapata na awatoyasahau kabisa. Maumivu yao ya kwanza ni kutoa sare na singida big star pale liti, wanajua kabisa kumuondoa yanga pale juu...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wa taifa hili mwezi huu afande mtarajiwa Majaliwa na Yangaa mmenikosha sana

    MUNGU Awabariki KUJITOA KUNA BARAKA ZAKE THX ENGN THX MAJALIWA THX DAR YOUNG AFRICANS
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

    Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia. Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado natafuta kiini cha ajali ya ndege ya watu majuzi na waliosababisha, kwani kwa ndege kama ile, tena...
  5. MdengestanfromCuba

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Uto, ila kuna hili hapa

    Leo Uto mmejua kutufunga midomo tusiyowaombea mazuri, mmetisha sana🫡🫡. Kwenye mechi ya leo nimeona mambo kadhaa: Kilichowaangusha Waarabu ni dharau yao kwa Yanga, hii mechi wangeweza kuimaliza Taifa, kwani Yanga walikuwa goigoi kwenye first leg. Dharau hiyohiyo imewafanya leo wasiamini...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini. Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mnaomuonea wivu Majaliwa ( maja mnyama ) ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana

    Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe. Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
  8. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaopendana sana ndio wanaongoza katika kufanyiana mabaya?

    Ripoti za utafiti zinaonesha kuwa Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inakuja kwakasi katika idadi ya watu wenye matatizo ya afya ya akili. Mpaka sasa kati ya watu wanne basi mmoja wao yupo hatarini kupata matatizo ya afya ya akili. Pia siku chache hapo nyuma tumesikia kuhusu kulemewa kwa idadi...
  9. Mbwilimbwili

    JamiiForums Tanzania Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

    Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN. Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa...
  11. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Umughaka jamaa mmoja hapa JF nimependa sana

    Huyu bwana namfuatilia Sana he is awesome. Sio mkorofi historia ya maisha yake mpaka response to critic anapata humu. Huyu MTU UMUGHAKA angesima angekuwa daktar mzuri sana. Kuna muda baadhi ya watu tukubali kuwapa heshima zao tu
  12. Phobia

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana

    Aisee inasikitisha sana. Moyo wangu umejaa chuki na hasira kwa huu upumbavu wa CCM na Serikali aisee hatujifunzi? Nina hasira na chuki aisee. R.I.p my mate and colleugues
  13. M

    JamiiForums Tanzania Umeme ulikuwa unakatika sana tu awamu ya nne watu mmesahay. Nimeambatanisha na ushahidi

    Mzuka Wanajamvi! Mkumbuke awamu ya 4 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zinanyesha za kutosha lakini kila wakati umeme ulikuwa unakatika. Bofya kwenye hizo linki za thread za malalamiko zilizoletwa humu JF -...
  14. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

    Hii ngoma ni kali kila sekta wakuu. Huyu dogo ni next big thing.
  15. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Sisi Watanzania Mbululu Sana

    Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
  16. system hacker

    JamiiForums Tanzania Vitu gani 'vidogo lakini vikubwa sana' unavyovijua lakini watu wengi hawavijui? Share kwa kifupi sana....!

    Kila mtu ana vitu vyake fulani hivi anavyovijua lakini watu wengi hawavijui. Inaweza kuonekana kama vidogo lakini ni vikubwa mno kwa tafakuri ya kina. Au pengine watu wanajua lakini hawaipi kipaumbele stahiki. Hebu share nasi kwa kifupi sana! Naanza mimi: - Serikali halisi ni familia. Hizi...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mzalendo sana. Ila katika hili mimi nimeshindwa kabisa

    Mimi Mzalendo sana tu. Ila ukiniambia nivae nguo yenye mirangi ya bendera yetu ntakukatalia mpaka mwisho. Bendera yetu ina mirangi mibaya. Haipendezi kwenye tai wala jersey. Kwenye tai labda iwe tu Blue au Nyeusi pekee. Lakini eti univalishe li tshirt,tai au bendera yenye ile mirangi...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni wabahili sana. Wanaume tusikubali kufanywa wajinga

    Hi! Mwanamke hata kutumia fedha ambazo amezizalisha kwenye biashara yake anaona hasara Mwanamke hata kutumia mshahara wake kununua mahitaji yake anaona hasara. Cha ajabu ukimtoa out na kumwambia awe free kuagiza chochote unaweza kuona anaagiza kuku nusu wa sh. 10000, juice ya sh. 5000. Hii...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata kiongozi mwenye kichaa kupitia demokrasia, si njia nzuri ya kupata viongozi

    Kuna matatizo fulani ya akili humfanya mtu atamani kuwa kiongozi au kujiona yeye ndiye anafaa sana kuongoza. Tukianza na watu wenye kichaa (Schizophrenia) yenyewe. Dalili moja inayoweza fanya watu hawa waweze kupenda kuwa viongozi ni 'delusion of grandeur'. Hii ni ile hali ya mtu kujihisi...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tuisila Kisinda amesemwa sana. Wazee wamesikia wameamua kumsaidia

    Sasa Tuisila Kisinda TM Master. Tayari atakuwa ameiva. Wazee waliambiwa na viongozi kumfanyia kazi kama ambavyo huwa tunawafanyia wachezaji ambao wanakuwa tayari kusaidiwa. Aziz Ki mmoja wapo na Mayele pia. Wameenda wamempika. Sasa zile kebehi zenu nyie wala mihogo na maji ya pakti...
Back
Top Bottom