The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Wana izengo kama somo hapo juu linajieleza. watu wengine tunakutana na majanga na mitego.
Ipo hivi, nilikutanana mwanamama huyu sehemu moja ya kutafutia riziki, ni mfanyakazi kama mie. Ni ofisi yenye pesa na Alhamdullillah tunapata pesa na tuna kila usafiri kila mmoja, tena wa maana.
Bahat...
Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa Msalato Dodoma akisema eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao ya kijamii kweli!
Spika anaongoza muhimili muhimu Sana wa kuhoji safari za rais lakini ndio huyo...
Nimeoona bandiko moja la askofu kwamba kuna kijana mmoja fundi bodaboda ametekwa na polisi nikashtuka sana na nikajiuliza maswali mengi sana.
Mkuu wa wilaya Mkurugenzi katibu tawala wilaya wote wapo. wawakilishi wa raisi wapo bado watu wanatekwa? Raisi fukuza mkuuu wa wilaya na mkurugenzi...
Wale watu wa vyombo na Live band kwa mji wa Kasulu basi Gronecy ni fire. Ila kwenye chakula hamna kitu majanga order zinachelewa unaagiza chakula unapata ndani ya masaa mawili mpaka matatu. Kama una njaa na unategemea ule vyombo utapata madonda ya tumbo.
Jirekebisheni Restaurant kubwa kama...
Ukisikia nchi ni superpower usichukulie jambo dogo. Kuna faida nyingi sana. Mfano Marekani wakiishiwa pesa wanachapisha tu na kununua vitu kokote. Wanasafiri kutalii nk. Anachofanya ni kuhakikisha anaendelea kuwa superpower na kumdunda yoyote anayeleta fyokofyoko. Ukiwa raia wa nchi kama hiyo...
Dah! Leo nimekumbuka mbali sana aisee.
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nikiwa na yule msichana niliyempenda kuliko KITIMOTO ROSTI NA NDIZI MBILI (Pilipili usiweke), tulienda first date pale Dubai. Mida ya saa 5 asbh hivi tukakwea pipa Emirates hadi huko Dubai na kufika kama saa 12 jioni...
Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira? Wanashida gani, kwanini wasibaki mashabiki?
Nchi inawashinda bado mnaingia sijui CCM na CHADEMA...
Au labda kuna dalili za yeye kufufuka ili GENTAMYCINE nianze Kufurahi na Kurukaruka nikiamini kuwa anakuja Kuinyoosha tena nchi, Kushikisha adabu mafisadi na Kutupigania Sisi Watanzania Masikini ( Wanyonge ) wakiongozwa nae GENTAMYCINE na wengineo baadhi.
Jamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala, yaani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali.
Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipozaje? Maana!
Wapendwa hamna mwanamke mbaya duniani, mwanamke yeyote ni matunzo tu na namna unaamua kumuweka. Tuacheni ubahili kwa hivi viumbe vinahitaji maisha ya anasa ili uzuri wao ujidhihirishe kweupe.
Kama unatamani mdada mwenye tako nakuhakikishia huyo mwanamke wako ana tako hilo, fungua tu password...
Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.
1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.
2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache...
Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa pili.
Mo Dewji baada ya wewe kumsifia mno vile Kocha Mgunda na kuahidi kuwa ungekutana naye Ili...
Habari za wakati huu watanzania wenzangu.
Kuna makala niliweka humu juu ya uandaji wa mbolea ya samadi ya maji kwa ajili ya matumizi ya bustani na shamba kiujumla. Kulingana na watu walionitafuta kuhitaji kujua zaidi na mrejesho ninaoupata kwa walioanza kutumia hakika ninapata faraja kubwa...
Hata aibu hawaoni. Halafu kuna mtu anakuja anazungumzia mabeberu sijui na nini. Hebu soma hapa. Uliza hao wanaoenda Qatari ni wazungu? Kama ni waafrika waulize wanaenda kwa pesa zao?
Unasoma unagundua wanametengewa bajeti na Serikali. Wanaenda Kombe la Dunia Qatar watu 327. Wanatumia kodi za...
Mkutano uliitishwa na Chancellor wa Ujerumani na kuhudhuriwa na wajumbe wa NATO wote (source: StarTV habari, BBC na AlJazeera). Swali langu ni kuwa kwani vita imeisha au hii ina maana gani?
Au ndo kweli kama wanavyosema wengine kuwa walikuwa kwenye majaribio yao ya silaha na sasa wameshapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.