sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh ameelezea Peponi kulivyo nimevutiwa sana. Uislamu una raha sana. Huyu mwanamke wa peponi ni balaaah wallah

    Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi. https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Raisi kama Rutto tungekuwa mbali sana!

    Ukiona huyu jamaa anavyopigania pesa za uwekezaji Maraisi wengine wamebaki kupingana na demokrasia na kuajiri machawa . Kapigania mradi wa Dangote kwa udi na uvumba, kapigania pesa ya afya ya marekani zaidi ya $1.5 B, kituo cha afya zaidi ya $600M . Pesa zote hizi sio za walipa kodi. Sisi...
  3. JamiiForums Tanzania Msemo wa Dudubaya sasa wafika shuleni hii ni hatua nzuri sana kitaifa

    You Bella wochi u a baki
  4. JamiiForums Tanzania Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

  5. JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anapaka piko ili afafanue jambo... Ajabu sana!

    Kuna mtu kapaka piko ili kufafanua jambo, kosa ni kupaka piko au kufafanua?
  6. JamiiForums Tanzania Hongera sana Samia : Ulionesha utu wako kwa vitendo October 29, 2025

    Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake. Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan. Nawapa pole wale wote wanaomchukia mama yetu, kama kuna ndugu yako alipoteza maisha atakuwa alileta vurugu huyo. Hata hivyo kifo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Leo Nina furaha sana, hata kuhisi nimepitiliza

    Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare. Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza mtindi mzito na mtamu sana nyumbani kwako.

    Jinsi ya kugandashia maziwa nunua maziwa fresh lita 2 au vile upendavyo yachemshe yapoe Kisha chukua vijiko 4 vya kulia chakula vya mtindi (culture) iwe asass, au Tanga fresh ambayo unapenda weka kwenye maziwa Yako ambayo yamepoa👌Kisha weka kwenye chombo kisichopitisha hewa funika kwa masaa 24...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

    Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Mziki na Mastaa wake. Sasa tukihusianisha na yale ya Pdid, R Kelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana mziki wanakataa. Mnaoijua...
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  11. JamiiForums Tanzania Inaweza kuwa Moja ya Taaluma inayolipa sana kwa sasa.

    Unaweza ukajihoji kuwa ulipoteza muda kupigania taaluma uliyonayo. Vichwa vyenye rutuba inayoweza kustawisha Ujinga vinazidi kuongezeka. Uongo unaweza kuwa moja ya bidhaa pendwa na muhimu kwa uhai wa serikali na viongozi feki. Wanufaika wanapambana kwa kukaza hadi mishipa ya nyoro kama...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Heche leo akiwa Shinyanga, asanteni sana wananchi

  13. JamiiForums Tanzania Viatu vikali sana

    Nikuletee vingapi, size namba ngapi na rangi gani Tajiri, almost free delivery DSM ✅ BRAND NEW ✅ QUALITY ASSURED 📞 WhatsApp: 0787842558
  14. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2026 LAND CRUISER LC300 ZX YA MOTO SANA IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 450M Call📞+255 (0) 747 999 927 LAND CRUISER LC300 ZX Year: 2026 Mileage: 0 KM Engine: 3,445Cc Fuel Used: PETROL Transmission: AUTOMATIC ✨Digital Dashboard ✨Active Brake Assist ✨Intelligent Drive Mode ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana; Watu wanaosema kuna Rais na serikali Haramu wakisema Hakuna mtoto Haramu

    NIMESHANGAZWA SANA; WATU WANAOSEMA KUNA RAIS NA SERIKALI HARAMU WAKISEMA HAKUNA MTOTO HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilileta mada hapa iliyozua mjadala mkubwa kuhusu mtoto haramu. Nilieleza kinaga ubaga kwamba Uharamu yaani jambo lisilo halali, kitendo kisicho halali, au matokeo...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ndio matunda ya kuikataa jihad na kukataa kuwa wahanga wa syndicate ya Moslem Brotherhood. Hongera sana Dubai (UAE)

    Hii ni residential , 🔥🔥
  18. JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Naam hasa afya ya akili.. Hawa wake zetu kwa kiasi fulani wanachangia sana kututanguliza mahala pema peponi. Hivyo mkombozi ni nyumba ndogo,,,huko hupata vitu ambavyo mke hawezi kukupatia, Wanaume tunahitaji heshima tu,,ukiambiwa jambo sikiliza. Mke akiwa na jeuri na kujibu kwa dharau hufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kama Kanda ya kaskazini Kuna ma tom Boy wengi sana.

    Nimejaribu kufanya kautafiti kangu hivi , ni kwamba kaskazini Hususani Arusha na Kilimanjaro ni kama ma tom Boy ni wengi. Sababu inaweza kuwa nini kwa hii Hali?
  20. JamiiForums Tanzania Tshirts kali sana

    Nikuletee ngapi, size ipi M,L,XL na rangi gani Tajiri, almost free delivery DSM ✅ BRAND NEW ✅ QUALITY ASSURED ✅ 15,000/=
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…