rais

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ODM Yasaka Nafasi ya Naibu Rais, Yamuunga Mkono Oparanya kwa Uchaguzi wa 2027

    Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimeongeza shinikizo la kutaka nafasi ya Naibu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku baadhi ya viongozi wake wakimuunga mkono Waziri wa Ushirika na Maendeleo ya Biashara Ndogo na za Kati, Wycliffe Oparanya, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Nyaisonga Rais mpya AMECEA. Tanzania bado imara

    ASKOFU MKUU GERVAS NYAISONGA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA AMECEA Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki (AMECEA). Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Mkutano...
  4. U

    JamiiForums Tanzania BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Spika waliondolewa na sasa Makamu wa Rais yupo njiani ?

    Heshima sana wanajamvi Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT. Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba. Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Ma RAIS 5 Baada Ya Rais Samia. Wote Wamepikwa na Wamepitia Mikono Mwake ,Uwezo Wao na Uzalendo Wao Ni Mkubwa Sanaa Kwa Taifa letu. Tuwaombee

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030. Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
  8. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Ipo siku Watanzania mtamkumbuka Rais Samia

    Wakuu, Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi ======== Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani Kilimanjaro "Nataka niwaambie, ipo siku tutamkumbuka Rais huyu. Ipo siku. Nakumbuka wakati wa...
  9. JamiiForums Tanzania DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
  10. JamiiForums Tanzania Usiku ambao malkia wa Cocaine alitaka kumuua Rais wa Colombia

    Miaka ya 1980 na 1990 iligubikwa na vita vya umwagaji damu kati ya serikali na makundi makubwa ya kihalifu. Wote tunaijua hadithi ya Pablo Escobar, lakini kulikuwa na mwanamke mmoja katili zaidi aliyetawala jiji la Miami na Colombia kwa mkono wa chuma:aliitwa Griselda Blanco, aliyefahamika pia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Wenye midomo hawasemi Rais Samia anavyoleta miradi ikitokea tumekopa midomo mingi

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baba...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri arejea nchini kwake mara baada ya kumaliza ziara nchini

    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026. Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
  13. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Rais Samia na marais wengine waliomtangulia

    Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa. Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani. Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ampokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri

    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah EL-Sisi, amewasili jijini Dar es Salaam Julai 18,2026, kuanza ziara ya Kitaifa ya siku moja kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ziara hii itahusisha mazungumzo kati ya...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania Mhe. Abdel Fattah El - Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri

    Karibu Tanzania Mhe. Abdel Fattah El - Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Ziara ya Kitaifa 18 Julai, 2026.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Anaandaliwa kuwa Rais, wa kwako kuwa Afisa usafirishaji (Bodaboda)

    Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake. Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mfano Rais akawachangia CHADEMA tonetone, Hali itakuwaje?

    Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50, Je chadema watapokea huo mchango? Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano? Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Argentina akataa kwenda kuangalia mechi ya fainali ya nchi yake na Spain sababu hakwenda kuangalia mechi za mwanzoni

    Rais wa Argentina, Javier Milei, amesema hatahudhuria fainali ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha Argentina na Uhispania, akieleza kuwa uamuzi huo unatokana na imani yake. Akizungumza kuhusu mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya mashabiki duniani, Milei amesema hataki kubadili...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rais tuma timu ichunguze Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu (Tabora), Mwekezaji 'amewaweka mfukoni’ watendaji, Wananchi hawanufaiki

    Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora. Kwa ufupi kuna matumizi mabaya ya madaraka na uingiliaji wa majukumu ya taasisi hiyo unaofanywa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…