Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…
Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.
Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/uchambuzi-wa-mayala-tuzo-za-walipa-kodi-bora-nchini-zijenge-utamaduni-wa-uaminifu-5520694
Paskali
Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
Yote haya ni kuokota okota tu watu kushika nafasi
Uzuri wangu si Mekko wala Samia amewahi niongoza nimetoka Tanzania 2015 Mwishoni ,
Ila kupitia watu wanaoishi Tanzania na Wengine ni wakubwa serikalini wanavyolalamika chini chini huyu Mama hafai kabisa
Kataa kubaki huo ndo ukweli, Full...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema;
"Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi.
Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda.
Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi.
Ni Katika...
WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam.
Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu,
Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi mishahara akalipa malimbikizo, wastaf wakalipwa Hela zao kwa muda mpaka sasa wanapata Hela kwa muda...
Kichwa cha habari kiko wazi. Zama za marais wakristo, waislamu walizoea kusema huu ni mfumo kristo. Ila baada ya kuingia mwenzao, hawataki tuseme huu ni mfumo islam! Washukuru mkristo Magufuli alimfanya muislam Samia tena mwanamke wa kwanza kuwa rais. Je, hili. hawalioni au ni ukosefu wa...
https://www.youtube.com/watch?v=k_vjhqNEwi4&pp=0gcJCU4LAYcqIYzv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha Viongozi Wateule, 01 Julai, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote.
Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC...
Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa Four Points by Sheraton, nikiwaripotia live mubashara, Kikao Kazi kati ya Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kupitia Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Kuzungumzia siku ya Tuzo ya Rais Kwa Mlipakodi Bora na Maadhimisho...
Taja watoto wa Rais, au waziri yoyote aliywai kuwa kama Maria Sarungi,
Hahahaha Kuna kizee kimoja hapa butimba gerezani kimemtaja, Makongoro Nyerere, sijakishangaa maana kilifungwa miaka ya 1992. Kiliacha akiwa na akili Sasa kitakuwa huru kesho sijui kitamwelewa Makongoro?
Haya na wewe uliye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.