Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimeongeza shinikizo la kutaka nafasi ya Naibu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku baadhi ya viongozi wake wakimuunga mkono Waziri wa Ushirika na Maendeleo ya Biashara Ndogo na za Kati, Wycliffe Oparanya, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto...
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana
Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
ASKOFU MKUU GERVAS NYAISONGA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA AMECEA
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki (AMECEA).
Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Mkutano...
RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya.
Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na
Bunge (Legislature)
1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
haki
haki za raia
halali
katiba
katiba mpya
kauli
kisiasa
kulinda
kusema
kutetea
makamu
makamu wa rais
mazingira
mpya
raia
rais
sana
ugaidi
viashiria
viongozi
watanzania
wote
Heshima sana wanajamvi
Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT.
Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba.
Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030.
Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
Wakuu,
Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi
========
Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani Kilimanjaro
"Nataka niwaambie, ipo siku tutamkumbuka Rais huyu. Ipo siku. Nakumbuka wakati wa...
https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA
DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
Miaka ya 1980 na 1990 iligubikwa na vita vya umwagaji damu kati ya serikali na makundi makubwa ya kihalifu. Wote tunaijua hadithi ya Pablo Escobar, lakini kulikuwa na mwanamke mmoja katili zaidi aliyetawala jiji la Miami na Colombia kwa mkono wa chuma:aliitwa Griselda Blanco, aliyefahamika pia...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Baba...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026.
Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.
Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani.
Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah EL-Sisi, amewasili jijini Dar es Salaam Julai 18,2026, kuanza ziara ya Kitaifa ya siku moja kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ziara hii itahusisha mazungumzo kati ya...
Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake.
Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende...
Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,
Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana
Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers...
Rais wa Argentina, Javier Milei, amesema hatahudhuria fainali ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha Argentina na Uhispania, akieleza kuwa uamuzi huo unatokana na imani yake.
Akizungumza kuhusu mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya mashabiki duniani, Milei amesema hataki kubadili...
Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora.
Kwa ufupi kuna matumizi mabaya ya madaraka na uingiliaji wa majukumu ya taasisi hiyo unaofanywa na...
Anonymous
Thread
hifadhi
mfukoni
mwekezaji
rais
tabora
timu
viongozi
wananchi
wanyamapori
watendaji
YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.