rais

  1. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  2. B

    Mabadiriko ya vyama vya siasa yawe hivi : mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais.

    ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
  3. I

    Afrika bado safari ni ndefu sana: Mtoto wa rais Museveni aamuru Kizza Besigye apewe dhamana.

    Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye. Juhudi za kutafuta...
  4. Sifi Leo

    Staki kuamini yakuwa Tume ya Chande haikumshauri, rais awatibu marejeruhi wa risasi za 29/10/2025 mpaka wajitokeze leo na kulia lia hadharani.

    Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania. Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
  5. BIOTOXINS

    TAIFA LINAPOANZA KUOGOPA;RAIS ANAJUA NINI ,BARAZARA MAWAZIRI LINASHAULI NINI NA BARAZARA LA USALAMA LA TAIFA LINALINDA NANI?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda. Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
  6. J

    Kwa Hotuba hii ya CJ, wazi kwamba hawa wanaolishwa mafundisho ya Yesu watamuumiza Kichwa Mh. Rais

    Mafundisho ya Yesu ni yenye Nguvu mno tofauti na tunavyofikiri. Vitabu vyote vinamtambua kama Neno la Mungu (John 1:1; Quran 4:171) na Mtume pekee yake ambaye hakuwa na dhambi na maisha yake yote hakufanya dhambi (Luka 1:35; Quran 19:19) Mtume pekee aliyefanya miujiza hata kufufua watu (Quran...
  7. M

    Ndonde: Kuna Makamu wa Rais kapotea kama Mbosso, haonekani

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Watu Wenye Ulemavu Taifa na kiongozi mwandamizi ndani ya Chama cha Wakulima (AAFP), Ndonde Said Ndonde akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi jimbo la Chamwino Dodoma leo Oktoba 31
  8. M

    DC Shaka: Rais Samia amewaaibisha waliombeza

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaibisha waliombeza waliokuwa wakidhani kuwa asingeliweza kuendeleza miradi ya kimkakati ya Taifa. Shaka amesema wakati Mhe. Rais Samia anaingia madarakani, licha...
  9. A

    Mh. Rais TANESCO Arumeru-Arusha inakuhujumu, imekata umeme watanzania wasifuatilie shughuli zako Dodoma

    Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma...
  10. C

    Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
  11. M

    Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  12. U

    Kashfa ya ufisadi wa kutisha Kanisa la Wasabato, kigogo mwingine ajiuzulu kwa ufisadi wa dola milioni 63

    Rais Mwingine wa Division ya Waadventista Apoteza Nafasi Yake Katika Kashfa ya Kifedha Inayodaiwa ya Dola Milioni 63 Rais mwingine wa Division ya Waadventista anapoteza nafasi yake huku kukiwa na taarifa za kashfa ya kifedha inayodaiwa kuhusisha dola za Marekani milioni 63. Mchungaji Soon Gi...
  13. Crocodiletooth

    Kutokana na juhudi za rais wetu,huenda tukawa na ukaribu na Angola

    Kwa mliowahi kufanya mishe angola je kuna fursa gani huko masela watu wachangamkie kutokana na kuwa na direct flight to Angola, #Angola,luanda city!
  14. L

    PICHA: Embu Tizama Rais Wetu Namna Alivyo Imara na Mwenye Nguvu. Hivi Wanaharakati Uchwara Wakiongozwa na Maria Sarungi Wanajisikiaje Huko Waliko?

    Ndugu zangu Watanzania, Napata Raha na Furaha kubwa sana Napomuona Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania katika Hali hii ya Ushupavu ukakamavu uimara Uhodari tabasamu na morali na Ari ya kazi . Mama Yetu Mpendwa yupo Imara kimwili na kiakili . Yupo Tayari kuendelea na...
  15. M

    Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
  16. Corticopontine

    Rais amebakiza miaka mitatu, ya kazi na wa nne ni wa uchaguzi, tuvumilie hili nalo litapita

    Miaka miwili na siku 364 zimebaki
  17. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu ashiriki hafla ya jioni iliyoandaliwa na Rais Putin, Moscow

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika hafla ya jioni iliyoandaliwa kwa ajili ya viongozi, wanaoshiriki Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika. Halfa hiyo imefanyika katika Ikulu ya Kremlin, Moscow nchini Urusi. Dkt...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Maryprisca Mahundi asukwa mtindo wa Jina la Rais Samia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhandisi Maryprisca Mahundi Maryprica Mahundi akisukwa mtindo wa Jina la Rais Samia ikiwa ni sehemu ya shindano la Ususi hapa Mlimani City kwa Wasusi wakiandika majina ya Viongozi...
  19. Zack Abdul

    Rais Samia, Msibani kwa Baba Wambura

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24...
  20. Zack Abdul

    Songea: ujenzi wa chuo cha IAA wafikia 77%, wananchi watoa pongezi kwa rais samia

    Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Tawi la Songea, umefikia asilimia 77. Chuo hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 4,500 kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza fursa za elimu ya juu, kukuza ujuzi na kuchochea shughuli za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani.
Back
Top Bottom