rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natamani Dr. Mpango atuambie taifa limeokoa kiasi gani kwa Rais Magufuli na mawaziri kutosafiri nje ya bara la Afrika

    Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano. Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America. Tunakumbuka mikutano ya...
  2. JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Kama akishinda tena, Rais Magufuli atategemea wateule wake 10 kuunda Baraza la Mawaziri la kueleweka

    CCM imeishiwa katika kupika viongozi wajao ndani ya UVCCM. Kwa watia-nia wanaoendelea kujitokeza majimboni kila uchao, ni wazi kama ngazi kuwa CCM inakuwa na wagombea 'bomu' uchaguzini. Kwakuwa ushindi umeshapangwa na kupangika, Bunge lijalo litakuwa dhaifu lakini nadhifu kama mkufu. Litakuwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaapisha viongozi mbalimbali wa Mikoa na Wilaya aliowateua hivi karibuni

    Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili. Tukio hilo litarushwa mubashara na TBC na Channel ten Up dates; === Leo Julai 6, 2020, Rais MagufuliJP anatarajia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katika tamasha la Muziki wa Shukrani Kawe jijini Dsm

    Rais Magufuli leo akiwa na Biblia amehubiri katika tamasha la muziki wa Injili linalofanyika Kawe jijini Dsm. Rais Magufuli ameongea kwa njia ya mtandao na amesema watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na Corona na kadhalika kuliingiza taifa letu katika uchumi wa kati...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero na Mkurugenzi mpya wa Halamashauri ya Biharamulo

    Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo. Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri. Maendeleo hayana vyama!
  7. JamiiForums Tanzania TRA Pwani wanarudisha nyuma juhudi za Rais Magufuli

    Wale walioko kwenye sekta za usafirishaji, uchimbaji wa malighafi ujenzi na ujenzi kwa ujumla watakuwa wamegundua kuwepo kwa uhaba wa ghafla wa mchanga unaotumika kujengea hivi Karibuni maeneo ya Dar na sehemu jirani. Kwa kipindi cha kama wiki moja hivi, TRA Pwani imekuwa ikikamata magari yote...
  8. JamiiForums Tanzania Bara hatuwezi mweka Rais Zanzibar ambaye hatumfahamu vizuri. Tutamweka Mwinyi

    Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo. Hussein Mwinyi ndiye ambaye tutamweka awe Rais wa Zanzibar nanyi mwende kumpigia kura ya kumpitisha. Kuna watu wasitegemee...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sifa Kuu Tano (5) za Bernard Kamillius Membe Zinazoonesha kwamba hafai kuwa Rais wa Nchi

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu Bernard Membe katika harakati zake za kuutafuta Urais wa JMT. Kwa sasa nimefanikiwa kung’amua sifa zake tano (5) ambazo binafsi naona kabisa kuwa zinamfanya asiwe mtu sahihi kwa nafasi hiyo kubwa na takatifu. Sifa hizo ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wapya watano

    Rais Magufuli amemteua Duncan Thebas kuwa Mkurugenzi Mtendaji (DED) wa Newala, Mtwara akichukua nafasi ya Mussa Chimae, pia amemteua Mwailafu Thomas kuwa DED wa Nanyamba, Mtwara akichukua nafasi ya Oscar Ng’itu, Erica Yeggella ameteuliwa pia kuwa DED Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara akichukua...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

    Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe...
  12. JamiiForums Tanzania Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa

    Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu. Chanzo: ITV Tanzania Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi inakuajekuaje kati ya mamilioni ya watu, unaibuka kupata bahati ya kuwa Rais wa Nchi?

    Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa, Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje...
  14. JamiiForums Tanzania Hii tumbua tumbua ya Mheshimiwa Rais Magufuli, hivi sasa lazima iangaliwe kwa jicho la tatu!

    Kwa uteuzi aliofanya leo wa kumteua Kamishna Thobias Andengenye kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Mkoa wa Kigoma, ni lazima sasa kila Rais anapotoa sababu za kumtumbua mteule wake, ni lazima Wananchi tuchunguze kwa jicho la tatu, je ni kweli sababu anazotoa Rais Magufuli, kuwa ndiyo zenyewe...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, naomba kazi ya Ukurugenzi wa Halmashauri

    Mheshimiwa Rais, Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali katika kilimo au ufugaji. Nina uzoefu wa muda mrefu katika kujenga uwezo wa taasisi ndogo ndogo za...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania bado inahitaji Rais kama Magufuli?

    Kama ilivyo ada na kwa jinsi hali ya hewa ya siasa ilivyo kwa sasa ni wazi kabisa kwamba sasa ni Rasmi JPM ndiye mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Tunatambua kuwa JPM anayo nia, sababu na uwezo wa kuhakikisha kwamba anabaki madarakani katika kipindi kingine cha miaka mitano. Mengi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Kikwete aliweza kukuza Gross National Income kutoka USD 500 mwaka 2005 hadi USD 940 mwaka 2015, ni kutokana na kuvutia uwekezaji imara!

    Asikudanganye mtu eti mambo anayofanya Rais Magufuli yanakuza GNI. Hakuna kitu kama hicho na ndiyo maana katika utawala wake wa miaka mitano (5) ya mwanzo amepata matokeo ya hovyo kabisa kwenye GNI. Haiwezekani pamoja na kelele zote, sifa zote anazopewa na wasaidizi wake then akuze GNI kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nijuzeni, Kwanini zisiwepo noti na sarafu zenye picha ya Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa na rais Magufuli? Ianzishwe na noti ya elfu hamsini

    Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo. Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tukumbuke vijana

    Mh. RAIS WETU Kwanza kabisa napenda kukupa pole kwa majukumu mazito ya kulijenga taifa uliyonayo tuliyokutwisha tangu mwaka 2015. Vile vile napenda kukupa pongezi na hongera kwa mambo makubwa unayofanya na hatua nzuri unazochukua za kutujari watanzania ikiwemo kutuepusha na janga la homa kali...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Rais Putin ndiye Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na Mali ya thamani ya Us dolar bil 200

    Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo. Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Putin ambaye biashara zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…