KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM
“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ”...
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya.
Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria.
Ila Nyuma ya...
ULINZI WAIMARISHWA DODOMA:
Dodoma: 07 Julai, 2020
Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama.
Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mh Jerry Muro amesema watendaji wa vijiji wamekuwa na tabia ya kuwataka wakuu wa wilaya watoke ofisini kwenda kuchoma moto mashamba ya bangi ilhali wao madc walishakatazwa na Rais Magufuli.
Muro amesema hayo wakati wa mkutano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi...
Kupitia chaneli ya Taifa, Rais Jair Bolsonaro (65) ametangaza kupata maambukizi ya #CoronaVirus baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya nne siku ya Jumatatu kufuatia kuonesha dalili za ugonjwa huo
Bolsonaro amekuwa mara kwa mara akipuuza ugonjwa huo huku akiuita ni mafua madogo ya kawaida na...
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa...
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!
Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana...
Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!
Ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao.
Kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe...
Wasalamu wana Jukwaa!
Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito.
Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA...
Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.
Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari...
Kwa walioskiza hotuba yake Leo, ni ukweli kwamba ni itaingia katika Historia kama hotuba ya kipekee katika karne ya 21. Mambo aliyotaja, kama Magufuli angemsikiliza angejiuma kidole lakini pia angejifunza mengi.
The new President of Malawi, Lazarus Chakwera, has told the BBC that his win in...
Rais Mteule wa Malawi, Lazarus Chakwera angeweza kuahirisha sherehe za kuapishwa kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya COVID-19
Awali Rais Chakwera alipanga kuapa katika uwanja wa mpira uliopo Lilongwe ambao ungehudhuriwa na watu 40,000
Badala yake ataapa katika Ofisi za Jeshi na sherehe...
Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano.
Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America.
Tunakumbuka mikutano ya...
Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais...
CCM imeishiwa katika kupika viongozi wajao ndani ya UVCCM. Kwa watia-nia wanaoendelea kujitokeza majimboni kila uchao, ni wazi kama ngazi kuwa CCM inakuwa na wagombea 'bomu' uchaguzini.
Kwakuwa ushindi umeshapangwa na kupangika, Bunge lijalo litakuwa dhaifu lakini nadhifu kama mkufu. Litakuwa...
Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili.
Tukio hilo litarushwa mubashara na TBC na Channel ten
Up dates;
===
Leo Julai 6, 2020, Rais MagufuliJP anatarajia...
Rais Magufuli leo akiwa na Biblia amehubiri katika tamasha la muziki wa Injili linalofanyika Kawe jijini Dsm.
Rais Magufuli ameongea kwa njia ya mtandao na amesema watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na Corona na kadhalika kuliingiza taifa letu katika uchumi wa kati...
Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo.
Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri.
Maendeleo hayana vyama!
Wale walioko kwenye sekta za usafirishaji, uchimbaji wa malighafi ujenzi na ujenzi kwa ujumla watakuwa wamegundua kuwepo kwa uhaba wa ghafla wa mchanga unaotumika kujengea hivi Karibuni maeneo ya Dar na sehemu jirani. Kwa kipindi cha kama wiki moja hivi, TRA Pwani imekuwa ikikamata magari yote...
Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo.
Hussein Mwinyi ndiye ambaye tutamweka awe Rais wa Zanzibar nanyi mwende kumpigia kura ya kumpitisha. Kuna watu wasitegemee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.