Sidhani kama Rais alikuwa hana 'info' zozote za wimbi la wateule wake kukimbilia kwenye vyeo vya kisiasa kipindi cha uchaguzi mkuu akajipanga mapema. Teuzi hizi za muda mfupi unamteua leo kesho kutwa unamtengua kwa sababu zozote zile ukiacha kifo, zinanipa wasiwasi kama ana washauri wazuri...
Rais Magufuli leo July 19,2020 amefanya mabadiliko ya uteuzi alioufanya July 17,2020 ambapo amemteua aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Marwa Mwita kuwa RC Njombe, Mwita ameteuliwa badala ya Jumanne Fhika ambaye atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.
Bunge la USA linataka kupitisha Sheria 2 baada ya Trump kutoa msamaha kwa Stone rafiki yake aliyefungwa miezi 40 kwa kukataa kutoa USHAHIDI dhidi ya Trump.
1. APPPA- kuhakikisha Trump hachezei madaraka ya kusamehe.
2.NPALA - kuhakikisha rais anashtakiwa baada ya kuacha madaraka
Rais hawezi...
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.
Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.
Chanzo: EATV
" Ukiwa huna elimu na wewe ni mwigizaji unataka kukosoa utakosoa hovyo hovyo, sijawashawishi wasanii waimbe nyimbo za CCM mimi nilisisitiza kuhusu elimu "-Dk.Mwakyembe.
Nipashe
Na kinachoniuma zaidi ni Mwana Simba Sports Club Mwenzangu mzuri lakini pia alishawahi kuwa Mwana Fani Mwenzangu...
Tumeshuhudia katika kipindi kisichozidi wiki moja, Rais Magufuli akifanya teuzi na tengua, za nafasi zaidi ya mia moja, katika nafasi zake za uteuzi, kama vile maRC, maDC, maDAS, maDED nk.
Kitu ninachoweza ita imeleta sintofahamu kubwa yote hiyo na kuweza kuiita ni "vurugu mechi" za teua na...
Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa.
Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana.
Maendeleo hayana vyama
Licha ya onyo kali la mwenyekiti kwamba mtu aliye mteuwa asijaribu kutangaza nia ya kugombea ubunge sehemu yoyote ile kwani atamkata,lakini hali imekuwa tofauti kabisa kwani wateuliwa asilimia kubwa wameonekana wakiachia nafasi zao na kwenda kuchukua fomu za kuomba kupitishwa kuwa wagombea...
Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo .
Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa...
Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa RC wa Njombe akichukua nafasi ya Christopher ole Sendeka. Kabla ya kuteuliwa Dkt. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais.
Dkt. Aloyce Nzuki ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili. Kabla ya uteuzi huo, alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
Rais wangu hujali gharama, anatoka mtu unaweka mtu. Hata kama katoka ncha nyingine ya nchi hujali gharama za kumhamisha. Unawapa ulaji. Hasa wale watumishi wenye elements za kiutumishi. Safi sana!
Aliyechukua nafasi ya Katambi wa Dodoma anatoka Geita, anakuja kulipwa mahela na masalahi mengine...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27
"Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa...
Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982).
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na...
Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
Viongozi Wateule walioapishwa Leo ni:
1. Bw. Aboubakar Kunenge- Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
2. Bw. Joseph Joseph Mkirikiti - Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara
3. Bw.Paulo Mshimo Makanza - Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam
4. Bw. Gabriel Pascal Malata- Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali...
Wanajamvi, kitu nawachukia wanasiasa ni uongo. Kuna mtu alisema “mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni mchana, kama mko ndani, toka nje uhakikishe jua lipo”
Chini hapo ni hotuba ya Maghufuli siku anafungua kampeni 2015. Kiaina naona kama kila alichoahidi, kafanya kinyume kabisa! Imekaaje hii...
Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli akipigania maendeleo na kufanikiwa kuiingiza Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya muda uliokuwa ukitarajiwa, jeshi la polisi wilayani Rombo limeendelea kulea na kushirikiana na wezi, wauza gongo, wauza bangi na wakabaji hali iliyosababisha wananchi wa vijiji...
Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli.
Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila siku.
Mimi ni kijana wako mtanzania halisi mpenda maendeleo na mchapa kazi wa kweli.
Nakupongeza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.