rais

  1. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Brazil yamuamuru Rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa. Atakiwa kuheshimu sheria za nchi

    Habari! Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo 'kukiona cha mtema kuni'. Jair Messias Bolsonaro. Taarifa kamili: Katika uamuzi uliotolewa...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye akerwe na udini kwa vitendo

    Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote wateuliwe na kuajiriwa kwa uwiano, hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa. Inahuzunisha sana kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu...
  3. CRI Swahili

    JamiiForums Tanzania China: Rais Xi Jinping asisitiza kuendelea na msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa mwito wa kuendelea kwa juhudi za kupambana na dawa za kulevya. Kwenye ujumbe aliotoa mapema kabla ya maadhimisho ya siku ya kupambana na dawa za kulevya (26 June), Rais Xi amesema msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya ni lazima uendelee, ili kupata maendeleo...
  4. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania URUSI: Wananchi wanapiga kura kuongeza muda wa Rais Putin

    Wananchi huko Urusi wameanza kupiga kura ya maoni ili kuruhusu Rais Putin kubakia madarakani kwa miaka 16 zaidi. Upigaji kura huyo utakamilika Julai mosi. Urusi inafanya kura ya maoni ya kubadilisha Katiba ya nchi ili kumuwezesha Vladimir Putin asalie madarakani hadi mwaka 2036 na atekeleze...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Nyagori ashauri Taasisi za Afya kumpa tuzo Rais Magufuli kwa mapambano ya Corona

    PROFESA NYAGORI ASHAURI TAASISI ZA AFYA KUMPA TUZO JPM MAPAMBANO YA CORONA NA MWANDISHI WETU-MOROGORO Daktari Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Ndani na Moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ambaye pia ni Mhadhiri wa vyuo vikuu mbali mbali vya tiba, Profesa Harun Nyagori, ameshauri...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia utashuka kwa 5% katika miaka miwili ijayo, Wapinzani tumuunge mkono Rais Magufuli atuvushe!

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana ya IMF ni kwamba inakadiriwa uchumi wa funia utasinyaa kwa 5% ndani ya miaka miwili ijayo tofauti na makisio ya awali ya 2%. Imeelezwa pia kutakuwa na upungufu mkubwa wa ajira Afrika na duniani kwa ujumla. Ombi langu niwaombe viongozi wote wa Upinzani...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Arusha wamshukuru Rais Magufuli kwa kuubadilisha uongozi mzima wa mkoa, waahidi kumstaafisha Lema Oktoba!

    Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya. Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo. Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa...
  8. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tusaidie sisi vijana wasomi kwenye mradi wa SGR

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  9. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania GE2020 TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

    " HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " 1. Watumishi 32,555 wenye dosari serikalini, Nyote Mtakumbuka March 2016 Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuna demokrasia pana wagombea 29 wachukua fomu kugombea Urais wa Zanzibar hadi sasa, CHADEMA ni 3

    Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM. Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1 CCM ni baba wa demokrasia Maendeleo hayana vyama!
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo kura za marudio ya uchaguzi wa Rais zilivyolindwa na wananchi nchini Malawi. Hakika kuna la kuifunza Tanzania

    Hakuna ujanja wa kutumia wakurugenzi , watu wasiojulikana wala polisi . Mungu ibariki Malawi
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kura ya maoni inaonesha Rais Magufuli anakubalika na wananchi kwa 90% na CCM inakubalika kwa 70%

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM. Komredi Polepole amesema hayo jijini Mbeya alikoendesha harambee ya kuichangia...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020. Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

    Rais Magufuli amempigia simu waziri wa madini Mh. Dotto Biteko na kumpongeza mchimbaji mdogo Samimu Laizer aliyeiuzia Serikali kipande kikubwa cha Tanzanite chenye thamani ya sh 7.8 bilioni. Rais Magufuli amemtania Laizer kwa kusema sasa ataenda kuongeza mke na ikimpendeza aoe mwanamke wa...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni ngumu sana kumwelewa Rais Magufuli. Alisema Urais ni kazi ngumu halafu inachapishwa fomu 1

    Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo: 1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama 2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama...
  16. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Corona: Hatimaye Rais Museveni asalimu amri, apinga ufanisi wa curfew za usiku, aungana na Magufuli

    Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo. Rais Museveni wa Uganda amesema uamuzi wa kuwafungia wananchi ndani ni kuwatesa na kuuwa uchumi wa nchi. Museveni amesema...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Rais Dkt. Magufuli Kutuanikia Madhaifu (Mapungufu) ya Wateule wake Mwenyewe kila anapowatumbua ina tija Kimaendeleo na Kiuwajibikaji?

    Hivi Mwalimu anayefundisha Darasa lake mwenyewe na kila mara Wanafunzi wake Wanafeli tu tatizo ni Wanafunzi au Yeye Mwalimu mwenyewe?
  18. J

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Rais Magufuli hata Dr Kigwangalla alikuwa namba 3 nyuma ya Bashe na Selelii

    Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea. Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea. Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania RPC Shana umekoswakoswa ya dhahabu Mwanza na umekoswa mgogoro wa Arusha; hii ya kujipendekeza CCM kupitiliza itakuletea shida. Linda maadili

    Jf Imara Rais JPM amesema alikua anawatizama tu na aliwapa muda wa kuyamaliza wakashindwa. Akamuagiza Waziri Jafo awasuluhishe bado ikashindikana. Mwisho akaamua kutimua wote. Hapa JPM ametumia busara sana. Happy Wa Joseph (BIBI) anasema ukiona watoto wanagombania chakula wakati kinawatosha...
  20. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

    Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu. Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi...
Back
Top Bottom