Mh. Madam President ana haki kabisa kumchagua msaidizi wake. Ila alifanya kosa kwa kumchagua Dr P. Mpango. Sababu kuu ni kuwa ametoka wizara nyeti ya Fedha.
Wizara hii aliiongoza kwa miaka 5 na zaidi na ndio inayoongoza kwa kashfa za ubambikaji wa kodi, kushuka kwa thamani ya shilingi, wizi...
Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga!
Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia...
Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi.
Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
Mke wa Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo, Rebecca Akufo-Addo, amesema atarudisha kiasi chote cha fedha alichowahi kupokea kama posho tangu mumewe aingie madarakani mwaka 2017.
Hatua yake hiyo imekuja baada ya wananchi kulalamikia uamuzi wa Bunge kumuongezea posho na kufikia Dola 3,500 kwa mwezi...
Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma
Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hiz
Katika Jimbo ambalo Zuma...
"Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo.
Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Afrika ya Kusini. Ramaphosa alisema...
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.
Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis...
Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?
Sasa Rais anasema ziendeleeee.
Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?
Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Rais anashauriwa vibaya. Tumekuwa tukiwatetea Marais wetu wapendwa kwa kauli hii. Unajiuliza yeye Rais hana akili? Yaaani leo hii nije kukushauri ukajisaidie hadharani itaonesha kuwa wewe ni mtu wa watu huchagui au huna majidai.
Nawe unaenda? Wewe si huna akili sasa? Hii kauli ilishika kasi...
Wanajamvi habari za weekend
Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti
Wako kizuizini wakihojiwa.
Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi sehemu salama.
Mwengine ni Dimitri Hérard, head of the General Security Unit of the National...
Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake.
Na 99% ya Mazungumzo...
Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi.
Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali.
Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la...
Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na kashfa mbalimbali kutoka katika majukwaa mbalimbali na hata kufikia jana tulijionea kuwa Kada wa Chama...
Siku chache baada ya Jacob Zuma kujisalimisha Polisi kuanza kifungo cha miezi 15, Mahakama Kuu Nchini humo imetupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwake.
Licha ya kujisalimisha Polisi, Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini amepinga kifungo chake na Mahakama ya Kikatiba ambayo ilitoa...
Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
Pia soma > Mbowe awataka wananchi...
Hio ndio hali inayoendelea. Rais Mwinyi alikuja na nia njema kabisa akitaka kujitofautisha na watangulizi wake. Nia hio ilionekana mapema. Sasa watu wanajiuliza kulikoni ile spidi haionekani kuendana na alichomaanisha hadi sasa kunani?
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu mbali mbali vya tathmini, Rais...
Ndani ya miezi yake michache ameendelea kunyonya watu wenye kipato cha chini na kufaidisha Matajiri.
Kodi iliyooongezeka kwenye mafuta si rafiki kwa maskini. Ni kodi ya kinyonyaji,wizi na ulaghai mkubwa.
Kodi kwenye miamala ni kodi hiyo hiyo endelevu ya kunyonya watanzania maskini.
Bado kodi...
Polisi Nchini Haiti wamesema Kikosi kilichoundwa na Wanajeshi wastaafu wa Colombia 26 na Wamarekani wawili wenye asili ya Haiti kilimuua Rais Jovenel Moïse.
Kwa mujibu wa Mamlaka, Moïse alikutwa na majeraha 12 ya risasi na alifariki dunia eneo la tukio. Mke wake aliyejeruhiwa vibaya alipelekwa...