PICHA: Karim Keita Mtoto wa Rais wa zamani wa Mali
Shirika la Interpol limetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Karim Keita, mtoto wa rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, akihusishwa na tukio la mwaka 2016 la kutoweka kwa mwandishi wa habari za uchunguzi, watu walio katika duru za...
Udhalilishaji na Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa katika nchi yetu, sote tunawajibu wa kuwafichua wadhalilishaji. Natoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini yoyote atakae kamatwa kwa kosa la madawa ya kulevya au udhalilishaji nasisitiza asipewe dhamana.
Ziara: Donge Chechewe
Huu ni ujumbe...
"Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na katiba wako vitani" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe.
Habari Tanzania!
Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo;
1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa.
2...
Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya,
Mhe. Rais, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, na kiongozi mwandamizi katika serikali yako na sasa ni...
TULIENI MIOYONI: Ukuu wa Katiba Vs Ukuu wa Rais.
Hoja ya Katiba Mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya Ukuu wa Katiba na Ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na Katiba wako vitani.
Nawasihi wanaojadili, watulize mioyo yao. Wasikilize...
Amani iwe nanyi wadau
Leo ninakuja na Swali hili, Je, Rais Samia Suluhu Hassan ndo Deng Xiaoping wa Tanzania?
Kwa wale msiojua Deng Xiaoping ni Rais wa China aliyechukua usukani wa Uongozi wa China baada ya kifo cha Rais wa Kwanza wa China Mao Zedong. Mao Zedong alijulikana kwa wachina kama...
"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"
"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali...
Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto.
Tena kama...
Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema
Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya
Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa kukusanya ushahidi kutoka vyanzo vya kuaminika, kuhakiki hoja za mfumo tawala na hoja za mfumo wa...
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya...
Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri.
Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa...
Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?
Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa.
Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo...
Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili
kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana
Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo...
Yule wa kipindi kilee, aliyependa kusafiri kama Vasco da Gama aliungwa mkono na walioitwa wanamtandao.
Na yule aliyekuwa akipenda kazi na kuongea kwa kujiamini sana aliungwa mkono na abiria waliouchukia ufisadi. Japo baadaye huyu nahodha alibadilika na kuwa katili asiyeelezeka. Akachukiwa na...
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa Mwendazake Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda.
Hapo awali nilishuhudia mkutano kati ya Bwana huyu na Balozi wa Marekani, ukiachilia mambo...
Jenerali ulimwengu ambaye ni mwanahabari nguri amepinga vikali hatua ya kumpa Rais Samia Suluhu siku 100 za kumjadili.
Amesema kwanza hatupaswi kutumia njia hiyo sababu ni njia ambayo wamarekani ndiyo wanaitumia kwa viongozi wao iweje na sisi tuige wakati hatuya simamii malengo yetu.
Pia...
Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama gani katika miaka uliyoishi" ni moja ya mstari ambao huwa tunausikia katika misiba na mafundisho...
Kama Samia atakuwa ni mtu wa kukaa chini na kufikiri kwa makini basi atagundua kuwa yeye kuwa hapo siyo accident, Bali Mwenyezi Mungu amemuweka hapo kwa sababu maalum.
Machozi na vilio ambavyo watanzania walipitia katika utawla wa Magufuli, Mwenyezi Mungu aliamua kuwafanyia wepesi kwa kumuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.