rais

  1. P

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

    Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais. Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa...
  2. Leak

    JamiiForums Tanzania Rais na DPP ni matarajio ya wengi kuwa Mbowe atafikishwa Mahakamani au kuachiwa huru

    Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ile ahadi ya Mbunge wa Kibamba kutoka kwa Mh Rais ndo imeyeyuka?

    Nakumbuka wakati Mh Hayati Rais JPM (R.I.P) kipindi hicho anafungua stand ya Mbezi Lous alimuahidi Mh Mbunge wa Kibamba kuwa kutoka na sababu ya kwamba jimbo hili ndo linaongoza kwa kuwa na kiwango kidogo cha lami yaani chi ya 5%., basi aliagiza timu iundwe na Tanroads pamoja na mbunge wapitie...
  4. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

    Friends and Enemies, Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake, Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bila Rais kuwepo uwanjani Simba haiwezi kuipiku Yanga hata ikishinda mechi.

    Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa yasiwe makubwa sana kama ya tarehe 3 July. Sijui kama hili wanalifikiria
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Gaidi Nambari Moja likihutubia taifa mbele ya Rais

    Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami" Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe. "Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

    Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani. Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
  9. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Fainali ya ASFC Kigoma mgeni rasmi angekuwa Rais wa nchi

    Najaribu kuamini kuwa Rais SSH ni mpenda soka ila upande wa Simba au Yanga ni siri yake. Ile mechi ya ligi ya tarehe 3/07 hakupaswa kwenda uwanjani na kuwa mgeni rasmi kwani ilikuwa mechi tu ya kawaida ya ligi. Mechi aliyopaswa kuwa mgeni rasmi ni hii ya kesho tarehe 25/07 kwani ina umuhimu wake.
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua mbinu za NGOs itakuwa ngumu kumchafua kimataifa

    Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma ya vyombo vya habari utashtukiwa mapema sana. #CNNachauongo
  11. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan usikubali kuyumbishwa

    Mama yetu wa Taifa, mpendwa wetu nani kama Mama? Umeanza vzr sana ktk siku zako 100 kwa kusimamia Haki, Sheria, Amani, Upendo na Mshikamano. Katika siku 100 tumehuhudia kesi za kubambikiwa zikifutwa, watu waliodhulumiwa wakirudishiwa haki zao, wapinzani wakijumuishwa kwene Serikali yako etc...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kufikia amani, Taliban yataka Rais wa Afghanistan kuondoka

    Kundi la Taliban limesema halitaki kuhodhi madaraka lakini linasisitiza hakutakuwa na amani nchini Afghanistan hadi kuwepo na serikali mpya mjini Kabul na Rais Ashraf Ghani aondolewe. Hayo yameainishwa katika mahojiano kati ya shirika la habari la Associated Press na msemaji wa Taliban Suhail...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe mpate CEO asiyejishughulisha kusoma; mtaua kampuni

    Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa kasaini mkataba wenye mapungufu lukuki akiamini cabnet yake watasoma. Kabinet nalo likaamini Wataalamu...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

    NIPO ZAMBIA,KILA MZAMBIA ANANIULIZIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI. Nipo Zambia now kununua Soyabeans, JPM anakubalika vibaya mno (kumbuka tenda ya kuuza Soyabeans alituombea JPM mwezi Wa 12 mwaka Jana kwa Waziri Wa mambo ya nje Wa China alipozuru Tanzania- ambapo China ilikubali kuijumuisha Tanzania...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais Andry Rajoelina anusurika kuuawa

    Washukiwa kadhaa wamekamatwa kuhusiana na jaribio lililofeli la kumuua Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa nchi hiyo imesema Alhamisi hii. Watu wawili ambao ni raia wa Ufaransa ni miongoni mwa watu kadhaa waliokamatwa katika kisiwa hicho kilichopo katika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rais Samia anza na Kilimo kukuza uchumi

    Katika hotuba mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake ya dhati kukuza uchumi wa taifa letu pamoja na kustawisha ustawi wa mtu na maendeleo yake. Haya ameyasisitiza katika hotuba zake wakati wa siku ya wafanyakazi na alipokutana na wazee wa Dar es Salaam. Katika hafla hizi...
  17. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia alikuwa haaminiki au ndiyo mfumo wa ulinzi na usalama ulivyo?

    Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua! Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kamwe usirithi maadui, tengeneza wa kwako

    Ningelipata nafasi ya kuonana na rais SSH ningelimuuma sikio na kumpa tahadhari kwamba awe kama ndege mbayuwayu (akili za kuambiwa achanganye na zake. Rais SSH bado ana kundi kibwa Sana la watu ktk serikali yake waliokuwa wameaminiwa na mwendazake. Na kimsingi watu hawa walijipanga kufaidi...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mkoa wetu wa Kigoma kutoa kiongozi ngazi ya Makamu wa Rais, sisi wana ACT pamoja na kiongozi wetu Zitto kabwe,tunaweka silaha chini

    Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais. Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie. ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha,tutamlipa kwa kura zote 2025,na wabunge wote, madiwani, na viongozi wote wa mitaa
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Ijumaa ijayo atavuma tena, ushauri wa kupunguza kodi ya 1% ya mishahara ya watumishi wanyonge unamkosanisha Rais na Watanzania

    Ijumaa hii mishahara mipya itatoka. Lile punguzo la kodi ya PAYE ambalo Dr. Mwigulu alimshauri mama kwa watumishi wenye mishahara midogo kwa hesabu za haraka ni punguzo la Shilingi 2,750/- (Shlingi elfu mbili, mia saba na hamsini tu). Kwa maana hiyo kila mtumishi wa Serikali na Sekta binafsi ata...
Back
Top Bottom