rais

  1. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

    Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari, Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi...
  2. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa awashukia maofisa ‘wanaobania’ watumishi kupanda madaraja

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaagiza waajiri wote nchini kuchukua hatua kuwaondoa katika nafasi zao baadhi ya maofisa utumishi walioshiriki kuficha sifa za watumishi wenzao hali iliyosababisha kutopandishwa madaraja. === Arusha. Waziri...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Rais wa Mashabiki 'lia lia' wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana hapa JamiiForums naomba kuwajua Wenzangu tafadhali

    Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi? 1. Champion Kapangala ( Sebene ) 2. Omba ( Rhumba ) 3. Wallah Danico ( Sebene ) 4. Sans te Toucher ( Rhumba ) Kama una 'updates' zozote...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa Rais Samia kwa Museveni

    Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni, leo wameshiriki uzinduzi wa Shule ya awali na msingi Museveni iliyojengwa katika kijiji cha Nyabilezi, Chato mkoani Geita. Shule hiyo imejengwa kwa gharama ya takribani Dola za Kimarekani Milioni 1.67...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

    Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
  8. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mbona Magufuli alipokuwa akikosoa ya Kikwete mlikaa kimya? Muacheni Rais Samia

    Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi. Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Yoweri Museven aenda kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Salaam Wakuu Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato. Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo. Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense' Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  12. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujirani Mwema: Rais Samia akosoa uamuzi uliowahi kufanywa kuchoma vifaranga vya Kenya

    Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu. Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
  13. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Heko wadau.. Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele .. Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda . Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya...
  14. Bowie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

    Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana. Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona...
  15. gasper jj

    JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu tena Mbeya

    Wakati unakuja kuomba kura kwa awamu ya pili ya uongozi wenu 22/09/2020, nakumbuka ahadi nyingi ulizotuahidi, najua kipindi hicho 2020 ulikuwa Makamu wa Rais mtarajiwa, najua ulitoa ahadi kutoka moyoni za nini utatufanyia wana MBEYA tukiwachagua, najua ulijua mtashinda uchaguzi na mulishinda kwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano...
  17. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

    Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta, Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
  18. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Asante kwa Rais Samia kwa kuruhusu binti huyu aote tena

    Kabla nawe hujageuka mchawi, tazama video niliyokuwekea halafu usiwe mgumu wa kuelewa. Aliyeruhusiwa kuota tena ni binti wa Kitanzania, popote pale alipo. Nazungumzia binti yeyote ambaye sasa ameruhusiwa kurudi shule (Kuota tena) kupambania ndoto yake baada ya kukukosea na kupata ujauzito...
  19. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500

    Rais wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) amekataa kupokea ekari 50 ambazo Serikali ya Mkoa wa Mbeya imezitoa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu cha Dar es Saalam kampasi ya Mbeya na kutaka wapewe eneo lenye ukubwa wa ekari...
  20. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

    Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania. Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo. Swali, je ni sahihi Rais...
Back
Top Bottom