Hapa Mh. Mbowe akiongoza sala. Hii ikiwa ni pamoja na kumwombea yote ya kheri Rais Magufuli katika utendaji wake:
Hapa mwamba alikuwa katika ubora wake, kwa maana imeandikwa:
"Ombeaneni ninyi kwa ninyi."
Mbowe aliwaombea mema hata waliokuwa watesi wake. Uthibitisho wa wazi kuwa Mh. Mbowe si...
Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani.
Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa.
Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya...
===
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Salum Mwalim Juma wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa Vitendo Uhuru wa kutoa maoni na kukusanyika,
Ndugu zangu wa Chadema huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli kwa...
Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli.
She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015.
In September, she became just the fifth-ever female...
Wanabodi,
Hili ni bandiko lililotokana na makala yangu hii, kwenye Safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Kila nipatapo muda, huja na hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huja kwa mtindo wa swali, halafu jibu utatoa wewe msomaji...
Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu"
Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama hichohicho anatangazwa kwenye mabango barabarani na mitaani akiwa amevaa mavazi ya kijeshi kuhadhaa uma...
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Wasalaam!.
Kipindi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu anaanza kupanga safu yake ya uongozi, alisisitiza sana watu wafanye kazi kwa bidii na kuheshimia. Zaidi, alihimiza kuwa yeye hatofoka hadharani kwa wale wote ambao wataenenda kinyume na maagizo yake au kinyume na maslahi ya umma. Yeye alichagua...
SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA
Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
Nafuatilia mijadala hasa kupiti Twitter. Watu wengi ambao wanaonekana ni experts wa vitu vya siasa wanaongelea sana kuhusu 'maridhiano' na demokrasia.
I think term 'maridhiano' inakuja kwa sababu ya mambo mengi yaliyotokea huko awamu ya tano.
Ila Rais Samia anaonesha wazi kwamba anataka sana...
Tanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa.
Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya Rais Samia Tanzania imepata uwekezaji wa dola bilioni 3.5 ambapo imezaa ajira zaidi ya milioni 35...
Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo.
Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na...
Mamlaka Nchini humo zimemtangaza Rais Adama Barrow kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu, akipata takriban 53% ya Kura huku Mpinzani Ousainou Darboe akipata 28%
Awali, Darboe na Wagombea wengine walisema wasingekubali matokeo ya Uchaguzi huo ambao umeonekana kama kipimo cha Demokrasia katika Taifa hilo...
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza
Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji...
Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais?
Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.