rais

  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali! Bila kumumunya maneno...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

  3. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Samia kuwa Rais nilidhani ni lazima Rais wa nchi atoe hotuba ndeefu

    Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake. Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

    Kutoka ziara ya Rais Samia, Bandari Kuu Dar es Salaam. Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha??? 2...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa ameshindwa kumsaidia Rais?

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekuwa ni mtu mwenye kauli zenye makeke mengi lakini outcome ni kidogo sana. Leo hii rais anazungumzia kuhusu madudu bandarini, lakini ikumbukwe kuwa yeye siyo wa kwanza kugundua madudu ya huko, infact hata Kassim Majaliwa kipindi cha Magufuli anrwahi kugundua...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

    Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali". Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike. Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    "Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma, gari bovu linaangushiwa awamu ya 6 sitakubali.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

    Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya... "Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu...
  9. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

    Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa. Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye...
  10. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu unamhusu Rais Samia juu ya waliovunjiwa vibanda vya biashara

    Salama wandugu, Wikiend hii nikiwa nimeamka mapema nikiwa nacheki TBC kufuatiria ziara ya Rais wa nchi Mara kidogo nasikia hodi wife akatoka kidogo akaingia na mwanamke akiwa analia kisa mama huyo alikuwa akiuza mihogo huko kariakoo eneo ambalo hawakujua Kama wanatakiwa kaondoka Mgambo wa...
  11. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

    Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu. Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi...
  12. escrow one

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

    Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa. Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hii fimbo ya kijeshi aliyoshika Rais Kenyatta huwa inamaanisha nini? Tujuzane

    Huwa inabebwa na makamanda wengi wa kijeshi,je huwa ina maanisha nini?
  14. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

    Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo. David McAllister, alipotosha kwamba...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi

    Kwa mambo mazuri na makubwa uliyoyafanya huko 'Isles' uliko kama Rais wao na 'Mikakati' kabambe ya Maendeleo kuelekea kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kama GENTAMYCINE nakushauri acha kuwa na nia ya kuja kuwa Rais wa 'Mainland' kwa ama 2025 au 2030 tafadhali. Rais Dk. Hussein...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi. Akizundua awamu ya Pili ya...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

    RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO. - Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara - Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika. - Asema Mkandarasi wa...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

    Salaam Wakuu, Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine. Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji Warioba ataua ndege Wawili kwa Jiwe moja? Mawaziri Wakuu wasitaafu wamekuwa Msitari wa Mbele kupambania...
  19. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia kuelekea 2025, Roma locuta, causa finita!

    KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo. Katika mafundisho ya Kanisa na kwa mtazamo wa Mt...
  20. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na mafanikio ya UNGA

    Ilisema huko na zamani na wa wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts,” kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyokuchukulia. Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa...
Back
Top Bottom