rais

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ina maeneo 50 yanayoweza kuzalisha 5000MW za umeme wa joto ardhi (geothermal)

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuzalisha umeme Megawati 6000 hadi ifikapo mwaka 2025. Nishati hiyo itakuwa mchanganyiko endapo itazishwa na rasilimali tofati kama vile maji, upepo, jua na hojo ardhi. Katika kufanikisha hili kufikia azma hiyo, kupita...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa US akiri uchumi wa nchi yake waporomoka

    Thursday’s reading is a blow to the Biden administration, which many have blamed for record-high inflation and soaring interest rates that have caused consumers to tighten their purse strings. Reacting to the second quarter GDP report, Biden avoided addressing the recession issue. Instead, he...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na haki sawa kwa Mwanamke

    Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa. Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na mfumo wa 'contrarian approach'

    Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN anatumia mfumo wa 'Contrarian approach' kwenye teuzi ambao kisiasa unawapa fursa Viongozi wa juu kufanya uamuzi ambao hautarajiwi na wananchi walio wengi, Mfumo huu umetajwa kuwa ni mzuri katika kupata matokeo ya haraka na yanayotarajiwa na kiongozi husika. Hivi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani akagua ujenzi wa Hospitali Chalinze ambayo inazidi kumulikwa na Serikali. Wadau wamuunga mkono

    RIDHIWANI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI CHALINZE AMBAYO INAZIDI KUMULIKWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA. WADAU WAMUUNGA MKONO. Jana Jumatano Julai 28, 2022 Mbunge wa Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amekagua maendeleo ya ujenzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinavyoinua wanawake

    Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%. Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa wanawake tangu uhuru wa Tanzania zaidi ya miaka 60 iliyopita. Rais Samia Suluhu anaamini katika usawa na...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

    Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi Makatibu Tawala wa mikoa 10 na wengine tisa kubakia kwenye vituo vyao vya kazi. Uapisho wa viongozi hao utafanyika Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 01 Agosti...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Rais Samia ni shujaa mpya wa Afrika anayechomoza kwa kasi ya ajabu

    Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu, " Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu, inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Rais Samia anatupitisha njia ile ile ya Korea na Vietnam, tulikuwa nao sambamba kiuchumi miaka ya 1990's walituacha sasa tunawashika

    RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO, Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema, Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, nchi nzima kuanzia mwaka jana, Mhe Rais anatujengea jumla ya majengo 25 na sasa tupo...
  10. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais tujilaumu sisi wenyewe {Tanzania nchi yangu}

    tusicho kijua ni kuwa Marais wengi sio Binaadam na sio Watu pia, ili uwe Binaadam ni lazima uwe na sifa za kibinaadam na ili uwe Mtu ni lazima uwe na sifa njema za Kiutu. ndio maana wagombea wa Urais ambao ni Watu na Binaadam watagombea Urais hadi kifo kinawachukua awafanikiwi ng'oo kukikalia...
  11. JamiiForums Tanzania Sio mafuta tu, Rais Samia Suluhu aweka ruzuku na kwenye mbolea

    Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea katika kilele cha maonyesho ya Nanenane, yatakayofanyika mkoani Mbeya...
  12. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Zambia ahojiwa tuhuma za rushwa

    Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amehojiwa na Wakala wa Kupambana na Utakatishaji Fedha wa Zambia kuhusu umiliki wake wa nyumba za kisasa zilizopo katika Mji wa Lusaka. Nyumba hizo 15 ziliweka chini ya uangalizi maalum mwezi huu zikidaiwa kuwa zilipatikana kwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nani Muongo kati ya Msemaji wa Serikali na Rais wa TUCTA?

    Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane. Wakati huo huo Rais wa TUCTA anasema wameipa serikali muda ije na majibu kwanini nyongeza ya mshahara imekuwa tofauti. Kwa vyovyote vile kati ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Mhe. Rais

    Mhe. Rais, Kwanza nikupongeze sana kwa kazi nzuri sana unayoifanya. Wanaobeza utendaji wako hawajui ulichukua nchi ikiwa katika hali gani.....lakini umesimama imara. Mhe. Rais, mimi nina ushauri mmoja kwako unaohusu vijana wa JKT OP MIRERANI waliomaliza mikataba yao. Mhe. Rais, ni kweli...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba Umtoe Mkurugenzi wa NBS, atatuharibia Sensa. Hili ni suala la Kitaifa

    Salaam Wakuu, Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa, tunaomba apumzishwe ili kazi hii ya Sensa iende Vizuri. Hili ni Suala la Kitaifa si Swala la CCM. Kila mtanzania anatakiwa ashiriki hata asiyekuwa na chama. Tutafute Mtu asimamie Sensa kwa Manufaa ya Nchi. Dk Chuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  17. JamiiForums Tanzania Nina sababu milioni 1 za kumsapoti Rais Samia Suluhu

    Ukimchukia au kama humpendi Rais Samia Suluhu uwe na sababu. Sio sababu tu, bali sababu za msingi ambazo unaweza kuzijengea hoja nzito na kila mja akakuelewa. Kimsingi Rais Samia ndani ya siku 495 za Urais wake, amefanya makubwa katika kila sekta, wazungu wanasema 'No stone left unturned'...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Barua kwa Rais: Maskini na fursa za Serikalini

    Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa majina naitwa Mwanachi Tanzania nimzaliwa wa Dodoma mwaka 1961 nimekuandikia barua hii Rais wangu najua utaipata hapa jamiiforamu . MWANZO: Mh Rais na Mama yangu pole sana kwa msiba wa Baba, mimi mwanao nilitamani kupata nafasi ya kuja msibani ila Mama...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye Sekta ya Michezo

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeweka mikakati ili kukuza sekta ya michezo nchini. Serikali inaamini kuwa michezo ni Ajira kwa vijana wengi. Mikakati ya Rais Samia ni: Kukarabati Viwanja 7 kwa gharama ya Tsh Bilioni 10 Kuratibu na Kusimamia UMITASHUMTA na UMISETA Kuratibu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Siku ukiwa Rais mtu wa aina hii utamfanya nini?

    Habari JF, Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti. Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya. Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…