Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua barabara ya Chunya - Makongorosi (Km 39) na kuzungumza na wananchi wa Chunya- Matundasi katika mkutano wa hadhara leo tarehe 06 Agosti, 2022.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Yanga kumualika Kocha mkubwa Afrika Pitso Mosimane na kwamba amesikia Simba nao wamemualika Rais wa CAF kwenye siku yao ya Simba Day.
"Nawapongeza Yanga kumualika kocha mkubwa Afrika, Pitso Mosimane pia nimesikia Simba nao...
Klabu ya Simba imetuma maombi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Saint George ya Ethiopia, kwenye Uwanja wa Mkapa, Jumatatu Agosti 8, 2022.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur.
Baada ya uamuzi huo ambapo sababu hazijawekwa wazi, Rais Kiir amemteua Gavana wa zamani Dier Tong...
Mama nakusalimu kwa jina la JMT,
Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"
Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii,
Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa...
Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii, uhodari na wepesi katika maamuzi kwenye nafasi zao.
Wabunge 21 na watumishi wa Bunge 18 wamepata na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali anayoiongoza haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa shida za wananchi hapa nchini.
Rais Samia ametoa msimamo huo leo Ijumaa Agosti 5, 2022 akiwa Mbalizi mkoani Mbeya baada ya...
Semina zinazoendeshwa nchi mzima Kwa makarani wa sensa, zingeweza kupangwa vizuri tungeokoa pesa nyingi za umma na kuzielekeza kwenye maeneo mengine.
Mfano kulikuwa na ubaya gani kama wajumbe wa nyumba kumi na wenyeviti wa serikali za mitaa ,ambao ninauhakika wanawajua watu wao vizuri zaidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo tarehe 05 Agosti, 2022
======
Rais Samia leo ameweka Jiwe la Msingi la katika Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya...
Tanzania kama ilivyo baadhi ya mataifa, imejaliwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Ngorongoro ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa zilizo katika maajabu saba ya dunia kwa kuwa na wanyama adimu duniani.
Filamu ya Royal Tour inaonesha vivutio vya utalii vilivyoko Tanzania...
Brittney Griner ni nyota wa kike kwenye kwenye mpira wa vikapu/basket ball huko marekani. Alikamatwa huko Urusi akiwa na madawa ya kulevya na amehukumiwa jela kifungo cha miaka kumi. Rais Biden amekuja juu na "anaiagiza" Urusi imwachie haraka. Kwa bahati mbaya huyu mzee anajisahau anafikiri...
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.
Aliwatisha pia...
1. Rais Samia amewezesha kuondolewa kodi (Zero rating) kwa mbolea inayozalishwa hapa nchini na mahitaji mengine muhimu ya wakulima kama vile mbegu, vifaa katika mashamba ya maua na mbogamboga n.k
2. Rais Samia amewezesha Kuondolewa kwa kodi katika malighafi zinazotumika kutengeneza mitungi ya...
1. Kamwe asingekubali Mita za LUKU kutumika kukata kodi za majengo. Hapa waathirika wengi ni wapangaji ambao wengi wao ni masikini na sio wamiliki wa hayo majengo/nyumba.
2. Kamwe asingekubali Tozo za miamala ya simu. Hili asingelikubali abadani asilani. Maana miamala tayari ilikuwa na VAT...
Wadau niko mbeya kwa ajili ya maonesho ya nane nane, nimeona mwitikio ni mkubwa sana ,unaweza kupotea ulikotokea ,hii imenipa picha kwamba watanzania wana kiu ya kusikia kero za kilimo zinatatuliwa.
Nchi yetu kwa sasa haina chakula kabisa. Hata hawa NMC hawana akiba tena. Tutasingizia mvua...
Habari wanajamvi .
Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja.
Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi.
Ukiangalia kiufundi msingi wa Tanzania ulijengwa kwa tope na kupakwa rangi.
Nasema hivo kwa sababu baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.