Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi
Takriban watu 130 wametiwa mbaroni katika maandamano hayo ya kumshinikiza Rais huyo kujiuzulu , kutokana na kupanda kwa...
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
Tuna mengi sana ya kujifunza Kenya na uchaguzi wao.
1. Uwazi
2. Uhuru wa media zao
3. Incumbent president Uhuru hana kauli yoyote kuhusu uchaguzi
4. Katiba yao inaruhusu haya yanayotokea
5. etc etc etc
Summary nzuri ameifanya Askofu Bagonza kama ilivyo hapa chini!
UCHAGUZI MKUU KENYA...
Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa.
Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya.
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
Nawasalimu wanajamvi,
Mh. Rais hongera sana kwa kazi nzuri. Ni kweli sisi watanzania(ingawa sio wote) tunajua kwamba JKT haiajiri bali huwajengea ukakamavu na uzalendo vijana kwa nchi yao. Kuna vijana tunakutana nao mtaani wamelitumikia JKT miaka 3 hadi 4 katika shughuli mbalimbali. Hivyo hawa...
Watanzania wengi ni watu wenye uelewa mdogo sana wa mambo. Kwa kutumia mwanya huo ndio maana CCM inaendelea kutawala nchi hii wanavyotaka.
Unashangaa watu wengi wanamsifia sana Kikwete na kumuona mtu wa aina yake na aliefanya mambo makubwa nchi hii lakini ukweli ni kwamba Kikwete kaliingiza...
Mbunge wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga amemuomba Rais Samia Suluhu amuagize Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yalichukuliwa. Mbunge huyo ametoa malalamiko hayo leo hii katika ziara ya Rais jimbo la Makambako.
Kwa mujibu wa mbunge huyo, kuna maeneo...
Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong.
Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim Jong alipata maambukizi kama ilivyodaiwa, lakini Yo-jong amelaumu Korea Kusini kwa kudai walirusha...
NJOMBE
Kijiji cha Mtwango
Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha
Sensa huja kila baada ya miaka kumi. Twendeni tukapate idadi yetu kamili ili Mh. Rais aweze kuwaleta mafungu yanayo endana na idadi yenu.
Tuendelee kuongeza mapato, tumefanya vizuri lakini bado tunaweza kufanya vizuri zaidi ili...
Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka.
Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya matunda katika eneo la Shule ya St.
Constantino, Arusha, kabla ya mechi ya kirafiki ya viongozi...
Wakati anazindua daraja la Tanzanite alisema kuwa ule Mwenge utolewe iwekwe Tanzanite ili kusadifu maana ya daraja ila mpaka sasa kimya.
Je, TANROADS wamepuuza?
Ama ni dharau kwa mamlaka?
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
HaABARI WAKUU.
Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk.
Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022.
DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII
Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi.
Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei.
Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye...
Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie utaratibu mzuri.
Rais Samia Suluhu Hassan amenukuliwa na magazeti mengi ya leo akitoa onyo la mwisho kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kutokana na usimamizi mbovu wa Wizara yake na kudaiwa huku fedha nyingi zikidaiwa kupotelea kwenye mifuko ya watu.
Naungana na Rais Samia, Mashimba ameonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.